marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

vdcasino

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

alobet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

ngsbahis

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betsat

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AFANYA UKAGUZI WA MIRADI MBALIMBALI KIGOMA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 23 Machi 2023 akikagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasumo Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kasumo mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho leo tarehe 23 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwaaga wanafunzi wa shule ya msingi lemba mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasumo iliopo jirani na shule hiyo leo tarehe 23 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya wasichana kidato cha tano na sita yenye jumla ya majengo 18 inayojengwa katika kata ya Kajana kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe leo tarehe 23 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya ya Buhigwe wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa  Ofisi za Wilaya za Chama hicho leo tarehe 23 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 23 Machi 2023 ametembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inaotekelezwa katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais amekagua ujenzi wa barabara ya Buhigwe – Muyama – Kasumo. Amesema barabara hiyo ni jitihada za serikali katika kuufungua mkoa wa Kigoma na kuunganisha na mikoa mingine pamoja na nchi jirani hivyo kuchochea biashara na ukuaji wa uchumi kwa wananchi.

Amewataka viongozi wa chama na serikali katika mkoa huo kuwa na ushirikiano ili kufanikisha miradi kwa haraka zaidi na kwa ufanisi.

Makamu wa Rais amewataka wananchi kutambua gharama za maendeleo ni pamoja na kujitoa hivyo wanapaswa kuunga mkono tathimini na fidia zitakazotolewa na serikali kupisha ujenzi wa mradi huo.

Halikadhalika  Makamu wa Rais amekagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kasumo na nyumba za wahudumu wa afya wa zahanati hiyo,mradi  unaotekelezwa kwa nguvu za wananchi kwa kushirikiana na serikali.

Amewapongeza wananchi wa Kijiji hicho kwa kujitolea kuongeza eneo la zahanati hiyo pamoja na kutoa mchango wa hali na mali katika utekelezaji wa mradi huo na kuwaasa kuendelea kutoa mchango wao katika miradi mingine.

Makamu wa Rais amesema serikali itafanya ukarabati wa nyumba za walimu katika shule ya msingi Lemba iliopo jirani na zahanati hiyo ambayo inakabiliwa na changamoto ya uchakavu kwa muda mrefu.

Katika hatua nyingine Makamu wa Rais amekagua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya wasichana kidato cha tano na sita yenye jumla ya majengo 18 inayojengwa katika kata ya kajana Kijiji cha kasumo.

Pia amekagua ujenzi wa jengo la Mamlaka ya Mapato  Tanzania (TRA) wilaya ya Buhigwe, Mradi wa Ujenzi wa Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Buhigwe pamoja na Ujenzi wa Nyumba ya Mkuu wa Wilaya hiyo.

Makamu wa Rais amewasihi wakandarasi kuendelea kutoa fursa kwa wazawa wa maeneo husika ya ujenzi ili waweze kujiinua kiuchumi.

Pia amewataka wananchi wa wilaya ya Buhigwe kufanya kazi kwa bidii ikiwa ni  pamoja na kutumia vema fursa za miradi iliopo wilayani humo kujipatia maendeleo.

Pia Makamu wa Rais amewataka wananchi hao kutoa kipaumbele katika elimu kwa kutumia vema fursa iliotolewa na serikali ya awamu ya sita kutoa elimu bila malipo kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita.

About the author

Alex Sonna