Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MATANO KUKITANGAZA KISWAHILI

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil,  Zanzibar,

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita akizungumza wakati alipomkaribisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipokea tuzo ya kukienzi Kiswahili baada ya kufunga Kongomano la Idhaa za Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul – Wakil, Zanzibar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani baada ya kufunga Kongamano hilo kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Zanzibar Machi 19, 2023. Kulia kwake ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita na kushoto ni Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO MATANO KUKITANGAZA KISWAHILI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari na wadau wote wa Kiswahili waweke mkakati wa pamoja wa kuitangaza lugha hiyo nje ya nchi.

Mbali na kuitangaza lugha hiyo, Waziri Mkuu Majaliwa amehimiza matumizi ya Kiswahili fasaha na sanifu, kufanya tafiti za lugha ya Kiswahili, kuweka mkakati wa kukibidhaisha Kiswahili kitaifa na kimataifa na kuhakikisha kuwa maelezo ya matumizi ya bidhaa yanawekwa kwa Kiswahili.

Ametoa wito huo jana usiku (Jumapili, Machi 19, 2023) wakati akizungumza na wadau mbalimbali alipokuwa akifunga Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lililofanyika kwa siku mbili kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil, Kikwajuni, Zanzibar.

Akisisitiza jukumu la kuhakikisha matumizi ya lugha ya Kiswahili yanavuka mipaka ya nchi, Waziri Mkuu alisema: “Nitoe rai kwa waandishi wa habari kuimarisha ushirikiano na wataalamu wa Kiswahili na taasisi za Kiswahili kuhakikisha kwamba mnaweka mikakati thabiti ya kupenyeza Kiswahili nje ya nchi kwa njia mbalimbali.”

Akielezea umuhimu wa kufanya tafiti za lugha ya Kiswahili, Waziri Mkuu alisema tafiti zina tabia ya kueleza changamoto na kutafuta majibu. “Kwa hiyo tufanye tafiti, BAKIZA na BAKITA tutumie vyuo vikuu kufanya tafiti na kubainisha majibu haya. Tutumie vizuri fursa ya UNESCO ya tarehe 7 Julai, kila mwaka kwa kuendesha makongamano na kubainisha suluhisho,” alisisitiza.

Akielezea mikakati ya kukibidhaisha Kiswahili, Waziri Mkuu alisema iko fursa ya nchi jirani za Malawi, Msumbiji, Sudan na Congo ambako walimu wanaweza kupata ajira za kufundisha lugha hiyo. “Lazima tujitafakari ni kwa nini Kiswahili kinaenda nchi za jirani lakini walimu wengi wa Kiswahili hawatoki Tanzania Bara au Zanzibar wakati Kiswahili kimezaliwa hapa hapa?”

Pia aliwataka mawaziri wa Wizara za Viwanda na Biashara kutoka pande zote za Muungano wahakikishe kwamba bidhaa zote zinazozalishwa katika viwanda vya hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje, zinakuwa na maelezo ya Kiswahili ili kuwapa fursa watumiaji wazitumie wakiwa wanafahamu vema maelekezo yaliyomo kwenye bidhaa hizo.

Wakati huohuo, Waziri Mkuu alisema lugha si maneno tu yanayozungumzwa mtaani na ofisini, bali ni maisha ya watu na ndiyo yenye kurahisisha mawasiliano katika shughuli za kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni.

“Katika muktadha wa utangazaji kwenye vyombo vya habari, hakuna lugha duniani inayosimama peke yake. Kwa msingi huo, ndoto ya kuifanya lugha ya Kiswahili izungumzwe duniani kote ni matarajio ya kila mmoja wetu. Hatua iliyofikiwa sasa ni nzuri kwani kinafundishwa kwenye vyuo vikuu vya nje vingi na sasa Kiswahili kinatumika kwenye vyombo vya habari kama radio kwenye nchi mbalimbali na tunatarajia kupitia kusambaa huku tutaandika vitabu vingi ili kupata watu wengi zaidi,” alisema.

Alisema moja ya mkakati unaofanywa na Serikali kwa sasa ni kuwaagiza mabalozi wa Tanzania walioko nje ya nchi waanzishe madarasa ya Kiswahili kama njia ya kukikuza na kukitangaza.

Mapema, akimkaribisha Waziri Mkuu kuzungumza na washiriki wa kongamano hilo, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Bi. Tabia Maulid Mwita alisema zipo idhaa nyingi zinazotumia Kiswahiliambapo baadhi ya nchi zilianza kutangaza kwa Kiswahili yapata miaka 66 sasa.

Alisema wizara yake itaendelea kuimarisha matumizi ya Kiswahili katika nyanja zote huku akisisitiza msemo wa “tumia chako mpaka usahau cha mwezako.”

Kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) lilikuwa na kaulimbiu isemayo: “Kiswahili ni nyenzo ya mawasiliano, tujiamini kukitumia” na lilishirikisha wadau kutoka Tanzania, Kenya, Ethiopia, Burundi, Rwanda na Tehran. Taasisi zilizoshiriki ni BAKITA, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, VOA, UN-NEWS (Kiswahili), Radio Tehran, Radio Maria, Radio Karagwe, ZBC, TBC, BBC, KBC, ITV, UFM, UTV na Ngassa FM.

About the author

Alex Sonna