Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

DODOMA KUNUFAIKA NA UJENZI WA KIWANDA CHA DOLA MILIONI 200

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akishuhudia utiaji saini wa makubalino ya awali ya ujenzi wa kiwanda cha saruji kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka katika Wilaya ya Kongwa. Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki kati ya kampuni ya 

Alotab & Block BB na Libyan Petrolium ya Libya. Hafla hiyo imefanyika mbele ya wajumbe wa Baraza la Ushauri Mkoa wa Dodoma jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Alotab & Block BB, Abdul Hillary Ally (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Libyan Petrolium ya Libya, Dmjed Rajab (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya ujenzi wa kiwanda cha saruji wilayani Kongwa.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule  akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubalino ya awali ya ujenzi wa kiwanda cha saruji kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka katika Wilaya ya Kongwa. Uwekezaji wa Kiwanda hicho utagharimu dola za kimarekani milioni mia mbili. Kiwanda hicho kitasaidia kuleta ajira na kuinua pato la mkoa na Taifa kwa ujumla.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule jana 17 Machi 2023 ameshuhudia utiajia saini wa makubaliano ya awali ya ujenzi wa kiwanda cha saruji ambacho uwekezaji wake ni wa thamani ya Dola Milioni 200.

Makubaliano hayo yamefanyika kati ya kampuni ya Alotab & Block BB na Libyan Petrolium ya Libya ambapo kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa Wilayani Kongwa. Hafla hiyo imefanyika mbele ya wajumbe wa Baraza la Ushauri Mkoa wa Dodoma jijini Dodoma.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewahakikishia wawekezaji hao mazingira rafiki ya kutekeleza shughuli zao za uwekezaji na kuwakaribisha kuwekeza zaidi katika ujenzi wa viwanda vingine.

“Nawakaribisha Dodoma, Makao Makuu ya Nchi yetu, fursa za uwekezaji ni nyingi wekezeni zaidi katika Mkoa wetu, tunayo ardhi na malighafi ya kutosha” Senyamule alisisitiza.

Nae Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa Dkt Omary Nkullo amesema katika Wilaya yake ekari 500 zimepimwa katika eneo la Pandambili maalumu kwa ajili ya uwekezaji.

Hatahivyo Bw Anyid Dmjed Rajab wa Kampuni ya Libyan Petrolium ya Libra amesema wataendelea kuwekeza katika maeneo mengine katika Mkoa wa Dodoma kutokana na mazingira rafiki ya uwekezaji na upatikanaji wa malighafi.

About the author

Alex Sonna