Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

RAIS DKT SAMIA AMEENDELEA KUIWEKEA HISTORIA BANDARI YA TANGA SASA IMEANZA KUPOKEA MELI YA MAGARI GATINI

Written by Alex Sonna

 

 Na Oscar Assenga,TANGA. 

Rais Dkt Samia Suluhu ameendelea kuiwekea historia kubwa Bandari ya Tanga kutokana na maboresho makubwa iliyoyafanya na sasa wameanza kupokea meli kubwa iliyoshusha magari kwenye Bandari hiyo

Magari hayo yalishushwa kwenye meli kubwa ya mizigo yenye urefu wa mita 179 ambayo iliweza kutia nanga katika gati lenye urefu wa mita 450 ambayo ilikuwa ikitokea nchini China na kuwa ya kwanza kuja na magari katika bandari ya Tanga tofauti na meli nyingine ambazo zilishakwisha kutia nanga bandarini hapo

Akizungumza wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Tanga na kushuhudia ushushwaji wa magari hayo katika meli hiyo,Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba amesema ameamua kuanza ziara yake kutokana na kwamba Bandari ndio Moyo wa kiuchumi wa Tanga.

Alisema kutokana na maboresho hayo yaliyofanywa na Serikali Mkoa huo unaweza kubadilika na kuwa Califonia ya Afrika na hivyo kupelekea uchumi wetu kuendelea kuwa mzuri.

Kindamba aliwataka wafanyakazi wa Bandari kuhakikisha wanafanya kazi kwa bisi wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kuitumia bandari ya Tanga hasa mara baada ya ukamilishaji wa ujenzi wa gati la kisasa lenye uwezo wa kuhudumia meli kubwa za mizigo tofauti na hapo awali.

Katika ziara hiyo Mkuu huyo wa Mkoa ameitambulisha rasmi kauli mbiu yake kwambq ‘Tanga lango kuu la Afrika Mashariki’.

Alisema kwamba wanaitazama bandari ya Tanga ya kimkakati zaidi huku akiwahimiza wafanyabiashara wa  ndani na nje ikiwemo nchi za Afrika Mashariki kuitumia bandari ya Tanga ambayo itakuwa na manufaa makubwa kwao katika kusafirisha mizigo yao kwa haraka zaidi.

Aidha alisema kutokana na Mapinduzi makubwa yaliyofanywa na Serikali wao kama wasimamizi wataisimamia  kwa ukaribu zaidi ili kuhakikisha Dunia inajua kwamba ipo bandari inayoitwa bandari ya Tanga inayofanya kazi zake kwa ufanisi mkubwa.

Awali akizungumza wakati wa ziara hiyo Meneja wa bandari ya Tanga Masoud Mrisha amemuomba Mkuu wa Mkoa kusaidia upanuzi wa miundombinu ya barabara ndani ya jiji la Tanga ili kuepusha msongamano wa magari wakati biashara  itakaposhamiri bandarini hapo.

Hata hivyo alisema kwamba wanaiomba Serikali kupitia wakala wa barabara za mijini na vijijini Tarura na Tanroads kutengenezwa kwa miundombinu ya barabara  inayokwenda Mwambani kwenye eneo ambalo wanatarajia kujenga sehemu ya kuhifadhia mizigo.

Meneja huyo alisema kwamba a kwa sasa wanawalika wafanyabiashara na wateja kutoka ndani na nje kuitumia bandari hiyo kutokana na maboresho makubwa yaliyofanywa na Serikali katika Bandari hiyo.

Serikali imewekeza kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 429 kwenye bandari ya Tanga kwajili ya ujenzi wa gati, kuongeza kina cha maji na ununuzi wa mitambo kwajili ya kuwezesha bandari hiyo kuhudumia meli kubwa ambazo zilikuwa zinashindwa kutia nanga bandarini hapo.

About the author

Alex Sonna