Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI  ATETA NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba akiwa katika kikao na Balozi wa Japan   nchini Tanzania Yasushi Misawa (wa Tatu kulia)  kilichofika katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dodoma. Wa Pili kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka. Wengine katika picha ni watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na Mipango na Ubalozi wa Japan nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan   nchini Tanzania Yasushi Misawa (wa Pili kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka (wa kwanza kushoto) mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Dodoma.Wengine katika picha ni watendaji kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Ubalozi wa Japan nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (Wa Sita kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan   nchini Tanzania Yasushi Misawa (wa Tano kutoka kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka (wa Nne kushoto) mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Dodoma. Wengine katika picha ni watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na Mipango na Ubalozi wa Japan nchini Tanzania.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Japan   nchini Tanzania Yasushi Misawa (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka (kushoto) mara baada ya kumaliza kikao chao jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazunguzo na Balozi Mpya wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa kuhusu kuendelea kushirikiana katika miradi mbalimbali ya Nishati nchini.

Mazungumzo hayo yamefanyika Machi 13, 2023 katika ofisi za Wizara ya Nishati Mkoani Dodoma.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka pamoja na Viongozi wengine waandamizi kutoka Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na Ubalozi wa Japan nchini.

Katika mazungumzo hayo, Mramba ameishukuru Serikali ya Japan kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania kutekeleza miradi mbalimbali ya nishati  ukiwemo wa kuhamasisha matumizi ya Gesi Asilia.

Amesema, Tanzania ipo tayari kuendeleza ushirikiano na Japan katika kutekeleza miradi ya Nishati.

Kwa upande wake, Balozi wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa alimueleza Katibu Mkuu huyo kuwa amekuja Wizara ya Nishati ili kujitambulisha na kueleza kuwa Japan itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza miradi mbalimbali inayoendelea ikiwepo ya kuhamasisha matumizi ya Gesi Asilia, kuzalisha umeme kutokana na Nishati Jadidifu hasa Upepo na ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme katika Mikoa ya Lindi na Mtwara.

Ameongeza kuwa, Japan imeendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza miradi mbalimbali katika Sekta ya Elimu, Afya, Maji, pamoja Ujenzi wa miundombinu.

 Baadhi ya miradi ya umeme ambayo inatekelezwa kwa ushirikiano wa nchi hizo mbili ni pamoja na njia ya kusafirisha umeme ya msongo mkubwa wa Kilovolti 400 katika mradi wa Backbone na vituo vya Kupoza na Kusambaza Umeme katika maeneo mbalimbali nchini.

About the author

Alex Sonna