Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA BALOZI WA MORROCO NCHINI TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi  pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri  wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika picha na mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya mazungumzo yao leo  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na   mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika 

Picha na Ikulu

About the author

mzalendoeditor