Featured Kitaifa

DWJ WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Written by mzalendoeditor

Chama Cha waandishi wa habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) wakifurahia wakati wa maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

Chama Cha waandishi wa habari Wanawake Mkoa wa Dodoma (DWJ) wakiwa katika maandamano walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ambapo mkoani Dodoma maadhimisho hayo yenye kauli mbiu Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsiayamefanyika katika Wilaya ya Kondoa.

PICHA NA ALEX SONNA

About the author

mzalendoeditor