Featured Kimataifa

MAKAMU WA RAIS ATETA NA RAIS WA BURUNDI

Written by mzalendoeditor

MAKAMU  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 06 Machi 2023 amekutana na kufanya mazungumzo (Tete a tete) na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Mazungumzo yaliofanyika katika Mji wa Doha nchini Qatar unakofanyika  Mkutano wa Tano  wa Umoja wa Mataifa wa Nchi Zinazoendelea za Kipato cha Chini.

About the author

mzalendoeditor