Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WIZARA YA KILIMO ZANZIBAR YARIDHISHWA UTEKELEZAJI WA AGRI-CONNECT KUWAINUA WAKULIMA

Written by Alex Sonna

Maafisa wa Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar pamoja na wataalamu kutoka kwenye miradi inayotekelezwa kupitia program ya AGRICONNECT kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (eu) wakipokea maelezo kutoka kwa mkulima wa Nyanya wakati wa ziara.

Afisa mkuu wa Utafiti wa wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Dkt. Suleiman Shehe akipokea maelezo kutoka kwa ALI KHAMIS ABDALLA,  mkulima wa mboganna matunda Shehia ya Kwale, Wete

Maafisa kutoka Wizara ya Kilimo na wataalam kutoka kwenye miradi inayotekelezwa chini ya mpango wa AGRICONNECT wakikagua changamoto zinazolikabili zao za Vanilla kwenye shamba la mkulima Juma Abrahman Khatib kupitia mradi wa VIUNGO Zanzibar lililopo Shehia ya Piki, Wilaya ya Wete Kaskazini Pemba.

WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini.

Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima wanufaika wa miradi inayotekelezwa na programu ya AGRI-CONNECT Tanzania kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) iliyofanyika Kisiwani Pemba kwa lengo la kutathimini hali ya utekelezaji wa programu hiyo katika kukuza uzalishaji wa mazao hayo kwa wakulima.

Katika ziara hiyo iliyoongozwa na Dkt. Suleiman Shehe, afisa mkuu wa Utafiti wa wizara hiyo, alisema juhudi kubwa zinazochukuliwa na watekelezaji wa miradi hiyo inasaidia kuongeza thamani ya mazao hayo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa hayapewi kipaumbele kama sehemu ya shughuli muhimu za kiuchumi kwa wananchi na taifa.

Alifahamisha kuwa wananchi wengi walikuwa bado hawaoni umuhimu wa kujiingiza katika kilimo cha mazao ya mboga na matunda kama chanzo muhimu cha kujiongeza kiuchumi lakini kupitia taaluma ambayo miradi hiyo imeitoa imewaamsha wakulima wengi kuanzisha mashamba yao.

Aidha aliwata watekelezaji wa miradi hiyo kuwekeza nguvu zaidi katika kuwezesha wakulima kukabiliana na changamoto zinazowakabili hasa miundombinu ili waweze kufikia malengo ya uzalishaji kwa wingi bila kiwazo.

“Niwapongeze tumefanya kazi kubwa ya kutoa elimu ya kilimo na kupitia ziara hii wote tumejionea kwamba wakulima sasa elimu ya kilimo tayari wanayo ya kutosha. Nitoe rai yangu, sasa tuelekeze nguvu zetu kuwawezesha wakulima hawa kupata miundombinu bora ili waweze kutumia elimu hii tuliyowapatia kuzalisha kwa wingi na hatimaye kujikwamua kimaisha kupitia kilimo hiki,” alisema Dkt. Shehe.

Aidha alihimiza pia miradi kuweka mkazo kwa wakulima kuzingatia suala la uwekaji kumbukumbu ya shughuli zao ili kuwawezesha kujua gharama za uendeshaji na faida zake kwenye shughuli hizo.

Kwa upande wake Omar Mohamed, ambaye ni afisa mshauri wa miradi ya AGRI-CONNECT Zanzibar alisema kuna haja ya miradi kujua mbinu gani za kutumia kuwashawishi vijana kujiingiza katika kilimo ili kuachana na dhana potofu ya kuona kilimo kama mateso kwao.

Alisema, “wakati tunaendelea kutekeleza miradi hii, tutazame zaidi shughuli ambazo zinawagusa vijana moja kwa moja ili iwe rahisi kwao kuvutika na kuja katika uzalishaji wa shughuli za kilimo na lengo letu waondokane na dhana mbaya ya kuona kilimo hakiwezi kuwasaidia kukuza uchumi wao.”

Ali Abdalla, afisa tathimini na ufuatiliaji wa mradi wa VIUNGO, alisema licha ya juhudi kubwa zinazochukuliwa na miradi kukuza kilimo Zanzibar, lakini bado nguvu ya serikali kushirikiana na wadau wengine inahitajika ili kufanya tafiti ya changamoto zinazokwaza wakulima ikiwemo udongo na maradhi nyemelezi kwenye mazao.

“Bado kuna ‘gap’ (utofauti) kubwa sana kati ya watekelezaji wa mradi ya kilimo na wizara kuhusu masuala ya utafiti wa maradhi ya kilimo jambo ambalo linapelekea hasara kwa wakulima.”

Miongoni mwa wakulima waliotembelewa ni pamoja na Hassan Shamte, ambaye ni mkulima wa Migomba katika Shehia ya Mgagadu Wilaya ya Mkoani, mnufaika wa mradi wa VIUNGO na kushudia namna mradi huo unasaidia kuendeleza kilimo cha Matunda kupitia njia za kisasa.

 Mkulima huyo alieleza kupitia mradi huo alipatiwa elimu ya uzalishaji bora wa matunda, taaluma ambayo imemsaidia kuanzisha shamba lake mwenyewe la migomba na Parachichi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja.

Kuhusu uendelevu wa shughuli baada ya mradi kumaliza muda wake alisema, “elimu na mbegu za Miparachichi na migomba tuliyopata kwenye mradi huu ni urithi wa kudumu kwetu. Tunashukuru taaluma tuliyoipata imetufanya tuamini katika kile tunachokifanya na hata siku mradi ukiwa haupo tutaendeleza kile tulichofunzwa.”

Katika ziara hiyo, jumla ya maeneo 18 ya wanufaika wa miradi inayotekelezwa chini ya program ya AGRI-CONNECT kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) ikiwa ni pamoja na mradi wa VIUNGO unaotekelezwa na People’s Development Forum (PDF), Community Forests Pemba na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake TANZANIA , Zanzibar (TAMWA ZNZ) yalitembelewa.

About the author

Alex Sonna