Featured Kitaifa

ALIYEKUWA MKUU WA UPELELEZI MKOA WA DODOMA SSP TARSIS ILDEPHONCE MWENGE AAGWA RASMI MACHI 02, 2023 JIJINI DODOMA.

Written by mzalendoeditor

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akitoa heshima ya mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu  Mrakibu Mwandamizi wa Polisi  (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule  akitoa heshima za  mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu  Mrakibu Mwandamizi wa Polisi  (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule  akiwapa pole familia ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu  Mrakibu Mwandamizi wa Polisi  (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

Mwili wa  aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu  Mrakibu Mwandamizi wa Polisi  (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam ukiingizwa katika viwanja vya kambi ya kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Dodoma yakutoa heshima za mwisho kwa Maofisa, Wakaguzi, askari pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma..Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

Kamishna wa utawala na Rasilimali  watu  wa Jeshi la Polisi, CP Suzan Kaganda   akitoa heshima za  mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu  Mrakibu Mwandamizi wa Polisi  (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

About the author

mzalendoeditor