Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

PROF.MBARAWA ATAKA MKANDARASI KUONGEZA KASI  UJENZI WA UWANJA WA NDEGE  MSALATO

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ,akikagua  maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato unaojengea jijini Dodoma ziara iliyofanyika leo Februari 22,2023.

WAZIRI  wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akimskiliza Meneja Mradi Makao Makuu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS),Mhandisi Kendrik Chawe wakati wa ziara ya waziri ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato unaojengea jijini Dodoma leo Februari 22,2023.

WAZIRI  wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa,akizungumza na waandishi wa habari lep Februari 22,2023 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato unaojengea jijini Dodoma.

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimskiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jonathan Nzayikorera,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukagua   maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato unaojengea jijini Dodoma ziara iliyofanyika leo Februari 22,2023 .

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jonathan Nzayikorera mara baada ya kukagua   maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Kimataifa wa Msalato unaojengea jijini Dodoma ziara iliyofanyika leo Februari 22,2023 .

Na.Eva Godwin-DODOMA 

 

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame  Mbarawa,ameridhishwa na Mwenendo wa Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato huku akimtaka Mkandarasi kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo wa kimkakati kwa muda uliopangwa kwa maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Hayo ameyasema leo Februari 22,2023  jijini Dodoma  mara baada ya kutembelea na kukagua mradi huo ambapo  amesema  kuwa kazi ya ujenzi wa uwanja huo inaendelea vizuri.

“Leo tumekuja kutembelea mradi na kuona kazi inavyoendelea, tumeona maendeleo ni mazuri na kazi inakwenda kama inavyotakiwa tunaimani kuwa mkandarasi ataongeza kasi zaidi ili ukamilike kwa muda uliopangwa kwa maslahi ya Taifa kwa ujumla”amesema Prof.Mbarawa

Aidha amesema kuwa sehemu  ya kwanza ya Ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Msalato inayohusisha ujenzi wa eneo la ndege kuruka na kutua umefikia asilimia 13.

Prof. Mbarawa amesema kuwa sehemu ya kwanza ya ujenzi huu inahusisha ujenzi wa eneo la ndege kutua na kuruka ambalo lina urefu wa km 3.6 na sehemu ya pili inahusisha ujenzi wa majengo ikiwemo jengo la abiria, jengo la kuongozea ndege, ofisi, jengo la zima moto pamoja na miundombinu mingine.

Amesema  kuwa sehemu ya kwanza ya ujenzi wa eneo la ndege kutua na kuruka linagharimu kiasi cha bilioni 164 na sehemu ya pili inayohusisha ujenzi wa miundombinu ya majengo utagharimu kiasi cha bilioni 194.4.

“Sehemu ya kwanza ya ujenzi inayohusisha ujenzi wa eneo la ndege kutua na kuruka mpaka sasa imefikia asilimia 13 na kwa upande wa sehemu ya pili ya ujenzi wa majengo na miundombinu mingine bado mkandarasi yuko katika hatua ya maandalizi kama mlivyoona” amesema Prof. Mbarawa.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Jonathan Nzayikorera amesema kuwa Benki ya Maendeleo ya Afrika inamshukuru na kumpongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake imara na maono aliyonayo katika mradi wa ujenzi huo.

“Nitaenda kusema nilichokiona, maendeleo ni mazuri sana, nimefurahishwa na kasi ya ujenzi inavyoenda lakini niwaombe makandarasi kuhakikisha kuwa wanatekeleza na kufanya kazi kwa wakati ili mradi huu ukamilike ndani ya wakati” amesema Bw.Nzayikorera

Awali Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mhandisi Rogatus Mativila amesema kuwa sehemu ya kwanza ya mradi huo imefikia asilimia 13 kwa kuwa mkataba wa ujenzi wake ulisainiwa mapema mwaka 2021 wakati ujenzi wa sehemu ya pili ya ujenzi wa majengo ulisainiwa mwaka 2022.

“Wakati Rais Dk. Samia akiweka jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa ujenzi huu aliwataka makandarasi wa ujenzi wa mradi huu kufanya kazi kwa bidii na kuhakikisha kuwa mradi unakamilika mapema iwezekanavyo” amesema

“Uwanja huu ni uwanja mkubwa na wa kimataifa, ukikamilika utaleta mapinduzi makubwa Dodoma kwa kuwa ndege kubwa zilizokuwa zinashindwa kutua zitatua sasa na hata wageni wakubwa wanaokuja kuonana na rais badala ya kutua KIA au JNIA watatua Dodoma moja kwa moja” ameongeza Mhandisi Mativila.

About the author

Alex Sonna