Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

MOI YAFANYA UPASUAJI KUONDOA UVIMBE KWENYE UBONGO KUTUMIA PUA NA KWENYE UTI WA MGONGO,WAIPONGEZA SERIKALI

Written by Alex Sonna


Taasisi ya tiba ya Mifupa na Milango ya fahamu (MOI) imefanya Upasuaji mkubwa wa Kuondoa Uvimbe kwa kuingia kwenye uvungu wa Ubongo kwa Kutumia tundu za Pua za Mgonjwa pamoja na kufanya Upasuaji mwingine kwa mgonjwa aliyekuwa akisumbuliwa na Uvimbe kwenye Uti wa Mgongo.

Upasuaji huo umefanyika leo Februari 22 Jijini Dar es Salaam kwenye taasisi hiyo ikiwa ni muendelezo wa mafunzo kwa Vitendo kupitia Kongamano la Kisayansi la Madaktari Bingwa na Wauguzi wa Ubongo na Milango ya Fahamu.

Akizungumza mara baada ya Kufanyika kwa Oparesheni hizo Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Milango ya Fahamu Dkt Nicephorus Rutabasibwa amesema mafanikio ya Upasuaji huo ni matokeo ya Jitihada za Serikali kuipa kipaumbele Sekta ya Afya kwa Kufanya uwekezaji mkubwa wa Vifaa tiba na vitendanishi.

“Tumewachagua wagonjwa waliokuwa na matatizo mbalimbali ambapo mgonjwa wa kwanza alikuwa na uvimbe kwenye kitezi cha Mgongo ambae dalili zake ilikuwa ni Kichwa kuumwa na baadae alipoteza kuona, lakini baadae tulipofanya vipimo tukakuta ana uvimbe kwenye Ubongo ambao unakandamiza mishipa ya fahamu ya kuona” amesema Dkt Rutabasibwa.

Kwa upande wake Dkt Laurent Mchome ambae pia ni Mbobezi wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu amesema Upasuaji uliofanyika leo sio mara ya kwanza Isipokuwa Utalaamu katika Upasuaji hubadilika mara kwa mara ndio ndio maana wameshirikiana na Wataalamu kutoka Colorado ili kufanya mafunzo ya pamoja ili kuongeza Ufanisi katika suala zima la Upasuaji hasa wa kuondoa Uvimbe kwa Wagonjwa wanaofika MOI kutibiwa.

” Tulianza kwanza kwa kujifunza Darasani ili tuangalie namna ya kushirikiana katika ujuzi ni mambo yamefika wapi sasa hivi, kwa sababu inawezekana Binafsi ninasoma na Daktari mwingine anasoma Binafsi lakini hatukutani pamoja ili kwenda pamoja lakini mikutano ya namna hii ni muhimu kwa sababu inatukutanisha pamoja Madaktari na hii inaleta tija zaidi” ameeleza Dkt Mchome

Madaktarii
bingwa wa Ubongo,Mgongo na Mishipa ya fahamu wakifanya upasuaji wa
kuondoa uvimbe kwenye uti wa Mgongo ikiwa ni siku ya tatu ya kongamano
la Kimataifa la Madaktari bingwa wa Ubongo,mgongo na Mishipa

Madaktarii bingwa wa Ubongo,Mgongo
na Mishipa ya fahamu wakifanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye Ubongo kupitia kwenye pua, ikiwa ni siku ya tatu ya kongamano la Mwaka la Kimataifa la Madaktari
bingwa wa Ubongo,mgongo na Mishipa likilenga kuwapa Wataalamu hapa nchini mbinu za kisasa za uchunguzi na matibabu ya uvimbe kwenye Ubongo na Mgongo ulioambatana na Saratani

Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Milango ya
Fahamu Dkt Nicephorus Rutabasibwa alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo kuhusu  operesheni waliofanya ya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye Ubongo kupitia kwenye pua pamoja na Uvimbe kwenye Uti wa Mgongo.

Dkt Laurent Mchome ambae pia ni
Mbobezi wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu akizungumza na Waandishi wa habari akielezea upasuaji uliofanyika leo kwenye taasisi hiyo ya MOI na nama utaalamu ulivyotumika kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka sehemu nyingine.

About the author

Alex Sonna