Winga wa Kimataiga wa Ghana aliyekuwa anacheza Hatayspor ya Uturuki Christian Atsu mwili wake umepatikana katika kifusi akiwa amefariki kufuatia tetemeki lilotokea nchini Uturuki.
Taarifa hizo zinakuja ikiwa ni siku 11 zimepita toka kutokee kwa tetemeko hilo lililoathiri Uturuki na Syria, Atsu amefariki akiwa na umri wa miaka 31 na amewahi kuvichezea vilabu vya Chelsea, Evertona na Newcastle.