Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Jengo la Usalama na Amani la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 17 Februari, 2023.

Previous articleUWANJA WA MKAPA KUFANYIWA MABORESHO MAKUBWA KWA AJILI YA MICHUANO YA AFRIKA SUPER LEAGUE
Next articleMAKAMU WA RAIS ATETA NA MKURUGENZI WA LONGPING YA CHINA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here