Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO MAALUM ,ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika katika Jengo la Usalama na Amani la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 17 Februari, 2023.

About the author

mzalendoeditor