Featured Kitaifa

UBALOZI AUSTRIA WAFANIKISHA UWEKAJI SAINI HATI YA MAKUBALIANO SEKTA YA AFYA

Written by mzalendoeditor

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakiweka saini Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Austria, Bi. Elizabeth Rwitunga.

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (wa pili kushoto); Naibu Mkuu wa Chuo cha Tiba cha Vienna, Dkt. Michaela Fritz na Mkurugenzi wa Idara ya Urolojia katika Hospitali Kuu ya Vienna, Prof. Shahrokh Shariat wakibadilishana Hati ya Makubaliano kuhusu kushirikiana katika masuala ya tiba za kibingwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Hosiptali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika akifanya mazungumzo na
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Open Medical Institute yenye makao
makuu Austria, Prof. Wolfgang Aulitzky. 

About the author

mzalendoeditor