Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

casibom giriş

pusulabet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

tipobet

redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA WATUMISHI WA WILAYA YA SONGWE

Written by Alex Sonna

 Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa wilaya ya Songwe kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Mwambani uliopo Mkwajuni mkoani Songwe,

Baadhi ya watumishi wa wilaya ya Songwe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Mwambani uliopo Mkwajuni mkoani Songwa, Februari 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya awamu ya sita imetekeleza miradi mingi ya huduma za jamii kila eneo hivyo watendaji wa halmashauri zote nchini wanatakiwa waendelee kubuni miradi mikubwa na kuitekeleza kwa kutumia fedha za makusanyo ya ndani badala ya kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu pekee.

“Katika kipindi cha miaka miwili ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tumejifunza mambo mengi ikiwemo miradi mingi ya halmashauri kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu. Watendaji wote wa halmashauri lazima wapanue wigo wa ukusanyaji mapato.”

Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametumia fursa hiyo kuwataka watumishi wa umma waondoe urasimu katika kuwahudumia wananchi na badala yake wafanye kazi kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili waweze kuongeza tija katika utekelezaji wa majukumu yao. “Hakikisheni mnawafuata katika maeneo yao na kutatua kero zao.”

Aliyasema hayo jana (Jumatatu, Februari 13, 2023) wakati akizungumza na watumishi, madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Songwe akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa mkoani Songwe. Amesema watendaji wahakikishe miradi inasimamiwa kikamilifu na kukamilika kwa wakati.

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Songwe amchunguze mtumishi wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Silas Meshilieki pamoja na fundi seremala Michael Bangu kwa tuhuma za kuchukua mbao zilizokamatwa na samani na kuzipeleka kwa fundi Bangu kinyume na taratibu za uhifadhi.

Kadhalika, Waziri Mkuu amezungumzia vitendo vya mmomonyoko wa maadili nchini ambapo amewataka Wakaguzi wa Elimu kwenda kufanya ukaguzi katika shule na kujionea wanachofundishwa na kujifunza ikiwa ni pamoja na kukagua vitabu vinavyotumika. “Baadhi ya vitabu vina mafundisho ya ajabu hayaendani na mila na desturi za Kitanzania.”

Hivi karibu akizungumza na Shirikisho na Elimu ya Juu (TAHILISO) na Zanzibar (ZAHLIFE) Mheshimiwa Rais Dkt. Samia aliwataka vijana hao kuwalinda watoto wa Kitanzania dhidi ya mila, tamaduni na desturi zisizo Kitanzania.

“Walindeni wadogo zenu vinginevyo mtakuja kuwa na Taifa la ajabu, huko tunakotembea nje mambo sio shwari, tuishini kwa mila na desturi zetu, mambo ya kuletewa yapo ya kuiga, suti zimetoka nje tunavaa tunapendeza, unataka kusema kizungu cha kubana pua sema, lakini yale mengine acha.”

Naye, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde alisema Mheshimiwa Rais Dkt. Samia anataka matokeo chanya katika utendaji na ana imani kubwa na watumishi wa umma, hivyo wafanye kazi kwa bidii ili wasimuangushe.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya alisema tayari Serikali imeshakamilisha usanifu wa mradi wa ujenzi wa barabara ya kutoka Mbalizi-Changombe-Mkwajuni-Saza-Patamela-Makongorosi yenye urefu wa kilomita 118 na kuwataka waendelee kuwa na subira.

About the author

Alex Sonna