Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA YAAINISHA MAFANIKIO LUKUKI

Written by Alex Sonna

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma Dkt. Ibenzi Ernest akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kipindi cha miaka miwili madarakani katika ukumbi wa Ofisi  ya Mkuu wa Mkoa jengo la Mkapa, leo tarehe 14/02/2023.

Waandishi wa Habari wakisikiliza mafanikio ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma yaliyowasilishwa na Dkt. Ibenzi Ernest (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Dodoma jengo la Mkapa. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imeandaa programu maalumu ya kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa taasisi zilizopo Mkoani hapo.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma imeandaa programu maalumu ya kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa taasisi zilizopo Mkoani hapo ambapo, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya  Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dkt. Ibenzi Ernest ameelezea mafanikio yaliyopatikana kwenye Hospitali hiyo katika kipindi cha miaka miwili.

Amesema Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma inajivunia kuwa miongoni mwa Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini zenye utoaji wa huduma bora za mifupa.

“Tunajivunia Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uboreshaji alioufanya kupitia Wizara ya Afya kwani imeboresha misingi ya kutoa huduma kwa wagonjwa wetu na tuna mpango wa kufanya huduma za afya ziwe za kitalii zaidi kwani tunataka mikoa mingine iweze kutoa huduma kama zetu. Tunalenga kwenye utoaji wa huduma bora” Ameongeza Dkt. Ibenzi

Kwa upande wa vipimo vya mionzi, Dkt. Ibenzi amesema kuwa Hospitali imeongeza vipimo vya mionzi kutoka viwili hadi kufikia 7, vipimo vya Ex-Ray vitatu kutoka kimoja cha awali pamoja na kipimo cha CT-SCAN kwa sasa kinapatikana hospitalini hapo. Jengo la bima na lile linalotoa huduma ya Mama na Mtoto yameboreshwa kwa kuwekewa huduma zote za mapokezi, vipimo na dawa sehemu moja kwa lengo la kuboresha huduma kwa wagonjwa.

Katika kipindi cha miaka miwili cha Serikali awamu ya sita imefanikisha kupatikana kwa mitungi ya kuzalishia gesi ya Oxygen ambayo imefungwa kwenye vitanda 261 hivyo kwa sasa huduma hiyo inapatikana hapo na hakuna haja ya kumtoa mgonjwa kwenda Hospitali nyingine kwa ajili ya kupata huduma hiyo.

Dkt. Ibenzi amesema Serikali ya awamu ya sita imefanikiwa kujenga miundombinu ambayo imeweza kurahisisha mawasiliano kati ya wagonjwa na watoa huduma wa hospitali hiyo tofauti na kipindi cha nyuma ambacho miundombinu haikuwa rafiki.

“Kwa sasa Hospitali ina muonekano mpya wa jengo la mapokezi kulinganisha na  miaka miwili iliyopita pia Hospitali inajivunia ongezeko la vitanda 36 kwa ajili ya wagonjwa mahututi kati ya vitanda 3 vilivyokuwepo hapo awali” Amesema Dkt.  Ibenzi

Hospitali ya Rufaa kwa sasa imeongeza watumishi ili kukidhi mahitaji ya kiwango cha wagonjwa wanaopokelewa kulingana na vitengo mbalimbali vyenye uhitaji ikiwemo Madaktari bingwa ambao idadi yao imefikia 23 kulinganisha na mwaka 2020 walipokuwa 5 tu, wauguzi waliobobea katika fani mbalimbali kama madawa, maabara na watoa huduma wa kutosha kulinganisha na kipindi cha nyuma.

Amesema kuwa upatikanaji wa dawa umeimarika Hospitalini hapo katika kipindi hiki tofauti na miaka miwili iliyopita upatikanaji wa dawa ulikua kwa asilimia 50, na sasa changamoto hiyo imepungua na dawa sasa zinapatikana kwa asilimia 98 na endapo mgonjwa atahitaji dawa na ikakosekana Hospitalini hapo, ni jukumu la mhudumu kwenda kuitafuta inapopatikana.

About the author

Alex Sonna