Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

AMCOS MBOZI KUCHUNGUZWA-MAJALIWA

Written by Alex Sonna
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Songwe, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya  Halmashauri ya Wilaya ya Momba lililopo Chitete mkoani Songwe, Februari  14, 2023. Kulia wake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba, Regina Bieda (kulia) kuhusu ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Songwe, Februari 14 2023. kuil ni Mbunge wa Mamba, Condesta Schalwe. (PIcha na Ofisi ya Wairi Mkuu)

 Muonekano wa hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba, eneo la Chitete mkoani Songwe ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi hou, Februari 14, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.

Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa jimbo la Mbozi, George Mwanisongole kuzilalamikia AMCOS za wilaya hiyo kuwanyonya wakulima wa kahawa na hivyo kuwafanya wauchukie ushirika.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Jumanne, Februari 14, 2023) wakati akizungumza na wananchi katika eneo la Mlowo wilayani Mbozi akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani Songwe ya kukagua miradi ya maendeleo na mafanikio ambayo Serikali ya awamu ya sita imeyapata katika kipindi cha miaka miwili.

“Ushirika ni muhimu kwa maendeleo ya wakulima lakini wanahitajika wanaushirika waaminifu, hivyo tutakuja kufanya uchunguzi wa mwenendo wa AMCOS za Mbozi ili kubaini wabadhirifu na kuwachukulia hatua. Pia tutachunguza makato wanayokatwa.”

Kwa upande wake, Mbunge wa Mbozi, Mwanisongole ametumia fursa hiyo kuishukuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuridhia takribani shilingi bilioni 10 kupelekwa katika jimbo hilo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha miaka miwili.

Amesema miongoni mwa miradi hiyo ni ya maji yenye thamani ya shilingi bilioni 5.3, miradi ya elimu ikiwemo ujenzi wa shule mbili pamoja na vyumba vya madarasa shilingi bilioni tatu pamoja na shilingi bilioni 1.65 zilizotumika kwa ajili ya miradi ya sekta ya afya ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya, zahanati na jengo la mama na mtoto (Itaka).

Pia, mbunge huyo amemshukuru Mheshimiwa Rais Dkt. Samia kwa kuridhia shilingi bilioni 150 kwenye ruzuku ya mbolea ambayo imekuwa mkombozi kwa wakulima ambao awali walikuwa wanauziwa mfuko mmoja wa mbolea kwa shilingi 130,000 na baada ya ruzuku bei imeshuka na sasa wananunua kwa shilingi 70,000.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ahakikishe anawasimamia viongozi wa wilaya ya Momba akiwemo mkuu wa wilaya hiyo wahamie katika kituo chao cha kazi badala ya kukaa Tunduma.

Waziri Mkuu amesema lengo la Serikali la kuwapeleka watendaji wilayani humo ni kusogeza huduma za jamii karibu na makazi ya wananchi, hivyo ni vema wakaishi katika vituo vyao vya kazi ili kutimiza lengo hilo.

“Watumishi wa Momba wanaoishi Tunduma wahamie hapa, kila mmoja awajibike kwa nafasi yake. Mmeletwa Momba wahudumieni wana-Momba na haya ndio matarajio ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia na siyo kuishi Tunduma halafu kazi mnafanya Momba.

Ametoa agizo hilo baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi jengo la utawala la halmashauri ya wilaya ya Momba linalojengwa katika kata ya Chitete kijiji cha Tindingoma kwa gharama ya shilingi bilioni 2.7.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godfrey Mollel amesema Serikali imepeleka shilingi bilioni 47 mkoani Songwe kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya sekta ya afya ikiwemo ujenzi wa hospitali ya mkoa, hospitali za halmashauri zikiwemo shilingi bilioni 3.7 zilizopelekwa wilayani Momba.

About the author

Alex Sonna