Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI KUUNDA TUME KUFUATILIA MADAWATI YA JINSIA VYUONI.

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Maendeleo Ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Bi Mwanaidi Ali Khamis akifungua Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati yanayofanyika Tarehe 09-10/02/2023, Mjini Morogoro.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii Bi Rennie Gondwe akizungumza katika Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati Yanayofanyika  Tarehe 09-10/2023 ,Mjini Morogoro.

Afisa MaedeleoyaJamii wa Mkoa wa Morogoro Tumaini Wapalila akizungumza  katika Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati yanoyofanyika Tarehe 09-10/02/2023 ,Mjini Morogoro.

Kamishna Msaidizi wa Mkoa Wa Morogoro Bi Zarau Mpangule akizungumza katika Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati yaliyofanyika Tarehe 09/02/2023 Mjini Morogoro.

Mwezeshaji wa Masuala ya Madawati ya Jinsia Kutoka Ofisi ya Rais -Utumishi Ndugu Staricko Meshack akiongoza Mada katika Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati Yanayofanyika  Tarehe 09-10/02/2023 Mjini Morogoro.

Baadhi ya Washiriki katika Mafunzo ya uanzishwaji,Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu YaJuu Na Elimu Kati yaliyofanyika Tarehe 09/02/2023 Mjini Morogoro.

Picha zote na kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM.
…….
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali imedhamilia kuondoa Ukatili wa Kijinsia Nchini Kwa  kuja na Mpango kazi unaotekelezeka  ikiwemo Uanzishaji wa Madawati ya Kijinsia Kwenye Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati.
Amesema hayo alipokua akifungua  Mafunzo ya uanzishwaji, Uendeshaji na Ufuatiliaji wa Dawati la Jinsia Kwa Wakuu wa Vyuo na Waratibu Wa Madawati kwa Taasisi Za Elimu ya Juu  na Elimu  kati Mafunzo yatayofanyika kwa Siku mbili mkoani Morogoro kuanzia Februari 09, 2023
“Nawapongeza Wale wote ambao wameshafungua Madawati lakini pia Nawapongeza wale ambao hawajafungua bado na wamefika hapa leo ili kujifunza namna ya kufungua na Kuendesha Madawati hayo ili kukabiliana na Ukatili unaondelea Nchini” Alisema Mwanaidi Ali Khamis.
Naibu Waziri Mwanaidi amesema uanzishwaji wa Madawati ya Jinsia  Kwenye Vyuo Vikuu na  Vyuo Vya Kati ni sehemu  ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake  ya Mwaka 2000 ambayo ilianza kutekelezwa Mwaka 2005.
“Tunazindua Madawati haya na Tutaunda Tume itakayofatilia Utendaji kazi wa Madawati haya kwa sababu Vitendo vya ukatili wa Kijinsia viko juu na Watoto wa kike wamekuwa Wahanga wakubwa”
Kwa upande wake Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia, Rennie Gondwe, amesema Mafunzo hayo kwa wakuu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya kati ni Muendelezo wa Jitihada za Serikali kupambana na Ukatili wa kijinsia
“Hii ni awamu  ya pili,Tulianza Mafunzo haya kwa Wakuu wa Vyuo vilivyopo Mkoa wa Dar es salaam, na katika awamu hii Mafunzo yanafanyika kwa Wakuu wa Vyuo  vilivyopo Pwani,Tanga na Morogoro .Tutaendelea kufanya Mafunzo haya na kuhakikisha Mikoa yote inafikiwa” amesema Gondwe.
Naye, Profesa  Musa Assad kutoka Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro(Morogoro Muslim University) amesema Vitendo vya ukatili uliokithiri hasa kwenye vyuo  vinasababishwa na mmonyoko wa Maadili.
“Chanzo kikubwa cha Kuongezeka kwa Matendo haya ya Ukatili ni mmonyoko wa maadili  ulio kithiri ndani ya Jamii ,Watu hawana hofu ya Mungu   na Vijana hawana nidhamu hivyo ili kurekebisha hili inabidi tupambane kurudisha nidhamu kwa Wanajamii”alisema Profesa Assad.

About the author

Alex Sonna