Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YADHAMIRIA KUTEKELEZA MRADI WA LIGANGA NA MCHUCHUMA KWA MANUFAA YA TAIFA

Written by Alex Sonna

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ,akizungumza wakati wa Semina ya kuwaelimisha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira  kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, iliyofanyika leo Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira Mhe. David Mwakiposya Kihenzile,akizungumza wakati wa Semina ya kuwaelimisha Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, iliyofanyika leo Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah,akieleza Kamati kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, iliyofanyika leo Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Dkt. Nicolaus Shombe akitoa elimu kwa wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu miradi ya kielelezo (Flagship projects) na miradi ya
kimkakati ikiwemo Mradi unganishi wa Mchuchuma na Liganga, Mradi wa chuma ghafi wa Maganga Matitu na Makaa ya Mawe Katewaka na Ngaka inayotekelezwa na NDC

Wajumbe  wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakichangia mada ,mbalimbali wakati wa Semina ya kuwaelimisha Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, iliyofanyika leo Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

Wajumbe  wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira wakiendelea kufuatilia  mada ,mbalimbali wakati wa Semina ya kuwaelimisha Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, iliyofanyika leo Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

………………………………..

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.)ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma kwa manufaa ya Taifa kwa ujumla.

Aidha, Dkt. Kijaji amewahakikishia wajumbe hao kuwa Serikali imekamilisha kuhakiki ardhi na mali za wananchi watakaopisha Mradi na imejipanga kulipa fidia kwa wakazi wa maeneo ya mradi huo ili kurahisisha utekelezaji wa mradi huo kuanza.

Dkt. Kijaji ameyasema hayo wakati wa Semina ya kuwaelimisha Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kimkakati wa Liganga na Mchuchuma, Februari 09, 2023, Bungeni, Jijini Dodoma.

Wakichangia kwa nyakati tofauti Wajumbe wa Kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. David Mwakiposya Kihenzile wamesema Mradi huo wa Kimkakati unapaswa kuanza kutekelezwa mapema iwezekanavyo ili kuleta manufaa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Vilevile, Wajumbe wa Kamati hiyo walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga kusaidia jitihada za kukamilisha taratibu za kuanza kutekeleza Mradi huo kwa kuzingatia maslahi ya Taifa.

Naye, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah aliieleza Kamati hiyo kuwa utekelezaji wa Mradi huo wa Kimkakati utafuata taratibu na Sheria zinazosimamia Uwekezaji, Madini, Kodi na Raslimali za nchi zilizopo ili kuhakikisha Mradi huo unaleta manufaa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Naye, Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC) Dkt. Nicolaus Shombe akitoa elimu kwa wajumbe hao amesema NDC inatekeleza miradi ya kielelezo (Flagship projects) na miradi ya
kimkakati ikiwemo Mradi unganishi wa Mchuchuma na Liganga, Mradi wa chuma ghafi wa Maganga Matitu na Makaa ya Mawe Katewaka na Ngaka iliyopo pamoja na miradi mingine iliyopo nchini.

About the author

Alex Sonna