Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

MAHITAJI YA NYUMBA NCHINI NI MILIONI TATU

Written by Alex Sonna

 

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Watumishi Housing Investments, Dk. Fred Msemwa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  leo Februari 9,2023 jijini Dodoma wakati akitoa taarifa  kuhusu  utekelezaji wa shughuli mbalimbali pamoja na mipango ya badaye ya shirika hilo.

………………………………

Na.Erick Mungele-DODOMA

MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Watumishi Housing Investments, Dk. Fred Msemwa, amesema mahitaji ya nyumba nchini ni milioni tatu huku  mkoa wa Dar es saalam pekee yake ni nyumba 400,000.

Hayo ameyasema leo Februari 9,2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu  utekelezaji wa shughuli mbalimbali pamoja na mipango ya badaye ya shirika hilo.

Dk.Msemwa amesema kutokana na mahitaji ya nyumba yaliyopo nchini shirika hilo limekuwa likijikita zaidi katika ujenzi wa nyumba za gharama nafu kwa ajili ya makundi yote nchini.

“Takwimu zinaonyesha kuwa kati ya Watanzania 100 ni 15 pekee ndiyo wenye uwezo wa kununua nyumba ya bei ya kuanzia milioni 25 na kuendelea hivyo kutokana na hali hiyo sisi tumeamua kuwa na miradi ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwa ajili ya watu wote”alisema

Aidha amesema kutokana na umuhimu wa nyumba shirika hilo limekuwa likitekeleza miradi mbalimbali ya nyumba za gharama nafu katika mikoa mbalimbali nchini.

Amesema kuwa kupitia Mfuko wa Faida fund ambao unatumia mfumo wa malipo ya Serikali wamevuka lengo kwa kukusanya michango ya Sh. bilion 12 .9 katika mauzo ya awali huku matarajio yalikuwa ni kukusanya Sh.bilioni 7 ikiwa ni ndani ya miezi miwili tangu kuanzishwa kwake.
“Hapa nchini watanzania 800,000 ndio wanaoshiriki katika uwekezaji wa pamoja wa soko la fedha, hivyo nawashauri watanzania kujitokeza kujiunga na mfuko huo ambao utawawezesha kufikia malengo, kujiletea maendeleo na kujikwamua kiuchumi,”amesema Dkt.Msemwa
Amefafanua kuwa makusanyo hayo ya Mfuko ni katika kipindi cha Novemba mwaka jana mpaka kufikia Februari 9 walikuwa na Sh.bilioni 14, na kwamba fedha hizo wameziwekeza katika masoko ya fedha ikiwemo mabenki na Serikali ambapo watanzania zaidi ya 4000 wamejiunga.
Kuhusu uendeshaji wa Mfuko huo, amesema Faida Fund unafanya kazi kwa njia ya kuuza vipande, ambapo bei ya kipande ilikuwa sh 100, mpaka sasa thamani ya kipande imefikia sh 101.1, hivyo thamani ya vipande imeendelea kukua.
Dk.Msemwa amesema, Watumishi Housing ndio wanaonunua vipande kutoka kwa wawekezaji ambao ni wanachama wa Mfuko huo watakaokuwa na uhitaji wa kuuza vipande vyao ili wapate Fedha.
Dkt. Msemwa ametaja faida ya kuwekeza kwenye Mfuko, kuwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kuwekeza katika masoko ya Fedha bila kulazimika kufuata mlolongo mrefu ikiwemo kwenda kwa madalali, uwekezaji hufanyika kwa njia ya simu hivyo kuokoa muda na kuwa na usalama wa fedha na kupata unafuu na kuwekeza bila tozo huku uwekezaji wako ukitambulika kwa Kasi kikubwa.
Pia amesema uwekezaji unaweza ukautumia kama dhamana pale utakapohitaji mkopo wa Benki ili kujiongeza zaidi kiuchumi na Mfuko wa faida fund ni endelevu na unalengwa sekta zote.
Kuhusu ujenzi wa nyumba amesema Nyumba 983 tayari zimejengwa kupitia taasisi hiyo ya Watumishi Houseng nchi nzima na kwamba katika ujenzi wa kila nyumba 100 Watumishi Housing huzalisha ajira kwa watu 120 hapa nchini

About the author

Alex Sonna