Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

MHANDISI MMASSY:’WANANCHI ACHENI KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI KIHOLELA’

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI Bodi ya Maji,Bonde la Wami/Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa fupi ya Utekelezaji wa majukumu ya bodi hiyo leo Februari 7,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI Bodi ya Maji,Bonde la Wami/Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa fupi ya Utekelezaji wa majukumu ya bodi hiyo leo Februari 7,2023 jijini Dodoma.

MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,akizungumza mara baada ya Mkurugenzi Bodi ya Maji,Bonde la Wami/Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,kutoa taarifa fupi ya Utekelezaji wa Majukumu ya bodi hiyo leo Februari 7,2023 jijini Dodoma.

………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

MKURUGENZI Bodi ya Maji,Bonde la Wami/Ruvu Mhandisi Elibariki Mmassy,amewataka wananchi kujiepusha na uchimbaji wa visima vya maji kiholela  ili kulinda hazina ya maji iliyopo pamoja na usalama wa maji kwa watumiaji.

Mhandisi Mmassy ametoa wito huo leo Februari 7,2023 jijini Dodoma  wakati akizungumza na wandishi wa habari kueleza utekelezaji wa majukumu ya Bodi hiyo ambapo amewataka wananchi kutochimba visima kiholela bila kujua hali ya mfumo wa maji katika eneo husika.

”Uchimbaji wa visima bila vibali kuna sababisha uchafuzi wa maji chini ya ardhi na hatimaye kuleta madhara kwa afya kwa watumiaji hivyo tunawaomba wananchi wasichimbe visima hivyo kiholel”amesema Mhandisi Mmassy
Aidha Mhandisi Mmassy amesema kuwa  bodi hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo  wananchi kufanya shughuli za kilimo maeneo ya jirani na vyanzo vya maji hali inayopelekea kuharibu vyanzo hivyo.
”Shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji kama vile kilimo, mifugo, uchenjuaji wa madini, uchepushaji wa maji mtoni, ukataji wa miti na uchomaji wa miti holela,vinasababisha  uharibifu wa vyanzo vya maji nchini” amesema 
Hata hivyo amesema kuwa wami/Ruvu  ipo katika kampeni ya upandaji wa miti rafiki wa maji kwenye vyanzo vya maji ambalo ni jukumu lao  kutekeleza agizo hilo lililotolewa na Mh. Makamu wa Rais Philip Isidory Mpango ambaye aliagiza kila Bonde kupanda miti milioni mbili. 
”Waziri wa Maji Jumaa Hamidu Aweso alizindua rasmi kampeni katika Mkoa wa Morogoro Tarehe 03/01/2023 katika chanzo cha Mto Mbezi kinacho tumiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira (RUWASA).”amesema Mhandisi Mmassy
Amesema kuwa  mpaka sasa Bodi imeanzisha kitalu chenye idadi ya miti 20,000 na kuendelea kuzalisha miti mingine itakayo kuwa inapandwa maeneo mbalimbali katika vyanzo kulingana na uhitaji.
”Tumefanikiwa kupanda miti elfu kumi na sita na mia sita (16,600) katika maeneo ya vidaka maji vya Ngerengere, Lukulunge, Bwawa la Mindu, hifadhi ya maji Makutupora, Mto Tegeta, Mpiji na Mto Kizinga. ”amesema
 
Aidha, amesema kuwa Bodi itaendelea na upandaji wa miti katika kipindi cha mwezi Machi hadi Mei, 2023 ili kutekeleza na kufikia lengo. 
Ameongeza kuwa Bodi ya Maji kwa kushirikana na wadau mbalimbali ikiwemo ofisi ya Mkoa wa Morogoro imeandaa kampeni ya upandaji miti rafiki wa maji katika vyanzo vya maji inayo tarajiwa kufanyika Mwezi Februari 2023 katika eneo la Mindu Morogoro.
”Dhumuni letu ni kuendelea kutoa elimu kwa jamii na wadau mbalimbali juu ya umuhimu wa uhifadhi wa vyanzo vyetu vya maji hasa kwakupanda miti rafiki wa maji kwenye vyanzo vya maji.”amesema Mhandisi

About the author

Alex Sonna