Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

BHM KUCHUNGUZA NA KUTIBU WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO NCHINI

Written by Alex Sonna

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospital ya Benjamin Mkapa .Dkt.Alphonce Chandika wakisaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la Childrens Heart Charity Association la nchini Kuwaita.

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospital ya Benjamin Mkapa .Dkt.Alphonce Chandika wakibadilishana nyaraka na Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka shirika la children heart charity association la nchini Kuwaiti Dkt.Faisal Al-Saeed mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la Childrens Heart Charity Association la nchini Kuwait.

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospital ya Benjamin Mkapa .Dkt.Alphonce Chandika ,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusaini  makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la Childrens Heart Charity Association la nchini Kuwait.

MKURUGENZI Msaidizi kutoka wizara ya afya Dk. Caroline Damian,akizungumza mara baada ya kushuhudia makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la Childrens Heart Charity Association la nchini Kuwait.

BALOZI  wa Tanzania nchini Kuwait Mhe.Said Mussa,akizungumza mara baada ya kushuhudia makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la Childrens Heart Charity Association la nchini Kuwait.

………………………….. 

Na.Alex Sonna-DODOMA

HOSPITALI ya Kanda ya Benjamin Mkapa (BMH) imeingia makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za uchunguzi na upasuaji wa moyo kwa watoto na Shirika lisilo la kiserikali la Children’s Heart Association la Nchini Kuwait.

Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika leo Februari 6,2023  jijini Dodoma na kushuhudiwa na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Mheshimiwa Said Shaibu Mussa.

 Akizungumza  mara baada ya makubaliano hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika amesema kuwa katika makubaliano hayo Shirika la Children’s heart litagharamia matibabu ya moyo kwa watoto wenye matatizo yanayohitaji upasuaji pamoja na kusaidia vifaa vinavyohiotajika kuwezesha matibabu hayo ili kuyafanya yawe endelevu.

Aidha Dkt Chandika amesema kuwa pamoja na huduma hizo za upasuaji madaktari hawa kutoka nchini Kuwait watasaidia kuwajengea uwezo madaktari, wauguzi na wataalamu wa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo ili kuwawezesha kuendelea kutoa huduma hizo kwa ufanisi na kwa kutumia teknolojia mpya.

“Madaktari wetu wazawa kutoka BMH wanaenda kupata ujuzi, kama ilivyookuwa kwa madktari wa Figo, wajerumani walikuja wakawajengea uwezo na sasa wanapandikiza figo wenyewe, hata hawa wa moyo watajengewa uwezo na hatimae watakuwa wanafanya upasuaji wa moyo wao wenyewe” amesema Dkt. Chandika.

Dkt Chandika amesema kuwa madaktari kutoka nchini Kuwait tayari wamefika BMH kuanzia tarehe 3 mwezi huu na tayari wamefanya upasuaji kwa watoto wawili na huduma itaendelea hadi Februari 9 ambapo wanategemea kuhudumia watoto Zaidi ya 100.

“Tunashukuru Shirika hili kwa mwitikio wao, tumeanza mazungumzo nao mwaka jana mwezi novemba lakini mwaka huu mwezi wa pili tayari wamefika na kuanza kuwahudumia watoto” 

Amesema kuwa Dodoma kijiografia iko katikati ya Tanzania, kwa hiyo kujenga kituo cha matibabu hapa kutasaidia wagonjwa kufika kupata huduma kwa urahisi, kutoka Mwanza ambako ndio magonjwa haya ya moyo yameshamiri kuja Dodoma ni karibu kuliko kwenda Dar es salaam, kutoka Mbeya, Kigoma ni rahisi pia kuja Dodoma.

“Katika kuendana na azma ya Muheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutamani kuona watanzania tunaenda kwenye utalii wa matibabu, sisi BMH tumelitekeleza hilo, tunawaita madaktari kutoka nje na tunaboresha huduma pia” amesema

Kwa upande wake Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Mhe. Said Mussa mesema kuwa makubaliano ya ushirikiano na Children’s Heart Charity yalianza mwaka jana mwezi Novemba katika Hospitali ya Muhimbili na sasa mkazo zaidi umewekwa BMH ili kuwasaidia watoto wengi kutoka mikoani hasa katika mikoa ya kanda ya ziwa waweze kufika kupata huduma kwa urahisi.

“Sisi tunaofanya kazi nje kwa niaba ya nchi tuna wajibu wa kutafuita fursa za kiuchumi, kibiashara na uwekezaji lakini katika utekelezaji wa diplomasia ya Uchumi suala la huduma ya jamii lina mchango mkubwa” amesema Mhe.Mussa 

Naye Daktari Bingwa wa Magonjwa ya moyo kutoka shirika la children heart charity association la nchini Kuwaiti Dkt.Faisal Al-Saeed,amesema kuwa wanaimani malengo wanayotarajia kuyafikia yatafanikiwa kwa sababu wamepata ushirikiano mkubwa kutoka kwa uongozi wa Benjamin Mkapa.

”Jamii inapaswa ijitokeze kwa ajili ya kupata matibabu ya Moyo kwa watoto wadogo hususani wale wanaohitaji Upasuaji.”amesema 

Makubaliano haya yatadumu kwa muda wa miaka mitatu na kutoa fursa Zaidi kwa madaktari wetu wazawa kujifunza Zaidi.

 

About the author

Alex Sonna