Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

holiganbet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AMEWEKA MAZINGIRA MAZURI YA DEMOKRASIA NCHINI-DKT.MPANGO

Written by Alex Sonna

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akihutubia Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja.

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Adam Ngalawa pamoja na viongozi mbalimbali wa CCM wakati alipowasili katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kushiriki Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023.

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana viongozi mbalimbali wa CCM wakati alipowasili katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kushiriki Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023. Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salam, Bi.Khadija Ally wakati alipowasili katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kushiriki Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salam, Bi.Khadija Ally akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salam, Bi.Khadija Ally akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja. Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiburudika kwa kucheza wimbo wa CCM katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja. Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Abbas Mtemvu, Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Adam Ngalawa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla  pamoja na viongozi mbalimbali wa CCM wakiimba pamoja na wanachama Wimbo wa Kusherekea  Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam. Baadhi ya viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakimsubiri kumpokea Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kushiriki Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023.Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu akizungumza  na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja.  Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam wakiwa katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM leo tarehe 05 Februari 2023 Viwanja vya Mnazi Mmoja.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

************************ 

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amewasihi viongozi na wanachama wa CCM pamoja na Watanzania  kwa ujumla kufanya siasa za kujenga taifa kwa kushindana kwa hoja na mawazo mbadala ya kujiletea maendeleo.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi kwa Mkoa wa Dar es salaam yaliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja leo tarehe 05 Februari 2023.

– Advertisement –

Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua na kuonesha dhamira kwa vitendo ya kuweka mazingira mazuri ya demokrasia hapa nchini, upatanishi, kuvumiliana, kuishi pamoja na kujenga nchi hivyo ni vema kutumia nafasi hiyo kumuunga mkono kwa siasa  safi zitakazo harakisha  maendeleo.

Aidha Dkt. Mpango amewasisitiza viongozi wa Chama Cha Mapinduzi kutambua jukumu walilonalo katika taifa la kuwatetea wananchi, kusikiliza changamoto na kuzipatia ufumbuzi. Amewasihi viongozi wa Chama kuwa mstari wa mbele kuisimamia serikali katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020.

Pia amewataka viongozi wa Chama kushirikiana na serikali katika kuhimiza wananchi kulipa kodi kwa maendeleo ya taifa.

– Advertisement –

Makamu wa Rais amesema serikali itaendelea kuboresha miundombinu katika Jiji la Dar es salaam ili kuondoa adha ya usafiri pamoja na  kuchochea biashara na utalii katika mkoa huo.

Amesema ujenzi wa Masoko Makubwa hususan katika Jiji Dar es Salaam, ikiwemo ukarabati wa Soko Kuu la Kariakoo ni dhamira ya serikali kuifanya Kariakoo kuwa kitovu kikubwa cha biashara kwa nchi zote za jirani.

Makamu wa Rais amesema Uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika na kuwa shindani huku mfumuko wa bei ukiendelea kuwa tulivu ambapo kwa mwaka 2022 ulikuwa asilimia 4.8, ndani ya malengo ya asilimia 3-5 ikiwa ni kiwango cha chini ukilinganisha na wastani wa asilimia 15.9 kwa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Nae Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salam, Bi.Khadija Ally amesema malezi ndani ya Mkoa huo yapo katika mkakati wa kuyaboresha na kupinga ukatili wa kijinsia hivyo wataendelea kutangaza ilani ya Chama cha Mapinduzi 2024/2025  kuwepo na ushindi wa kishindo.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makala amesema Soko la Kariakoo linatarajiwa kukamilika mwezi Oktoba mwaka huu huku likiwatarajiwa kuwa na wafanyabishara 3500 kutoka wafanyabiashara wa awali 1200.

Amesema kukamilika kwa soko hilo kutatoa fursa ya ufanyaji biashara kwa masaa 24 itakayochochea ukuaji wa uchumi wa Mkoa na Taifa kwa ujumla.

Makala amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi inaendelea kutekelezwa vema katika Mkoa wa Dar es salaam kwa uboreshaji wa sekta za Afya, Elimu, Miundombinu pamoja na Maji.

Awali aliyekuwa Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Maryrose Majinge ameeleza katika mkutano huo uimara wa CCM katika kukabiliana na majanga yanapojitokeza pamoja na sera madhubuti zitakazowaleta wananchi maendeleo.

Amesema kuwa Maendeleo ya kweli hayapatikani kwa kukipa lawama chama tawala na kuibua hisia kwa wananchi kwa kuhesabu miaka ya tangu taifa kupata uhuru bali kila mtanzania anapaswa kubadili Imani na mtazamo wake na kuwajibika ipasavyo kuleta maendeleo kwa pamoja.

Katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dar es salaam Jumla ya wanachama wapya 580 wamejiunga na Chama hicho akiwemo aliyekuwa Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Maryrose Majinge.

About the author

Alex Sonna