Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI ATETA NA UONGOZI WA KITAIFA WA AHMADIYYA MUSLIM JAMAAT TANZANIA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Amir Mbashiri Mkuu wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood, alipofika Ikulu na Uongozi wake wa Kitaifa kwa ajili ya mazungumzo na kuitambulisha Jumuiya yao, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Naibu Amir wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, akiwasilisha maelezo ya kazi zinazofanywa na Jumuiya hiyo, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  leo 4-2-2023 na (kulia kwa Rais) Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania Sheikh.Tahir Mahmood.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kitaifa wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim  Jamaat Tanzania ukiongozwa na Amir Mbashiri Mkuu Sheikh. Tahir Mahmood (kulia kwa Rais) na Naib Amir Sheikh.Abdulrahaman Mohammed Ame, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo  na kujitambulisha leo 4-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa  Msahafu na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood,  uliotafsiriwa kwa Kiswahili na Jumuiya hiyo, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Amir Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Ahmadiyya Muslim Jamaat Tanzania.Sheikh Tahir Mahmood , baada ya kumalizika kwa maungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  leo 4-2-2023, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor