Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

maxwin, maxwin giriş

smartbahis

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

zirvebet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

lordcasino

pusulabet, pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat

jojobet

tambet

ultrabet

jojobet

piabellacasino

setrabet

pulibet

jojobet

timebet

jojobet

kulisbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet

piabellacasino

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

mavibet giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

meritbet

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

İmajbet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casinoroyal giriş

perabet

meritking

betpark

vdcasino

Featured Kitaifa

UKEKETAJI  WANAWAKE NA WATOTO WA KIKE BADO NI TATIZO NCHIN

Written by Alex Sonna
WAZIRI  wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 2,2023 jijini Dodoma wakati  akitoa taarifa kuhusu siku ya Kimataifa ya kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake na Watoto wa kike Duniani.
Sehemu ya Waandishi wa habari na watumishi wa wizara hiyo wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, wakati  akitoa taarifa kuhusu siku ya Kimataifa ya kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake na Watoto wa kike Duniani leo Februari 2,2023 jijini Dodoma
…………………………………
Na  Bolgas Odilo -DODOMA
IMEELEZWA takwimu zinaonyesha kuwa ukeketaji nchini bado ni tatizo hali inayotokana na baadhi ya jamii zetu kuendelea kukumbatia mila na desturi zenye madhara na kuwadhalilisha watoto wa kike.
Hayo yamebainishwa leo Februari 2,2023 jijini Dodoma na Waziri  wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt Dorothy Gwajima, wakati  akitoa taarifa kwa waandishi wa habari hukusu siku ya Kimataifa ya kupinga Ukeketaji dhidi ya Wanawake na Watoto wa kike Duniani.
Waziri Gwajima  amesema madhara hayo ni pamoja na kupoteza damu nyingi na kusababisha vifo, maambukizi ya VVU/UKIMWI na kusababisha matatizo wakati wa kujifungua. 
Amesema Watoto wakati wa kukeketwa hushindwa kuhudhuria shule kwenye vipindi kwa muda mrefu na hivyo kuzorotesha maendeleo yao kielimu.
“Serikali kwa kushirikiana na Wadau inaendelea na jitihada za kukabiliana na vitendo vya ukeketaji kupitia mipango na mikakati iliyowekwa ikiwemo kutunga na kufanya marekebisho ya sheria na sera mbalimbali za nchi,” amesema Dkt Gwajima.
Amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) ,inasisitiza usawa na heshima kwa binadamu wote,kutambua na kuthamini utu wa mtu pamoja na kuhakikisha haki mbele ya sheria.
Aidha amesema kuwa Maadhimisho hayo mwaka huu yatafanyika katika ngazi ya Mkoa kulingana na mazingira yao na kiwango cha hali ya ukeketeji katika mkoa husika ,hivyo Wakuu wa mikoa wana jukumu la kufanya maandalizi kuelekea siku hiyo.
“Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha maadhimisho haya yanafanyika ngazi zote kwa kuandaa Mdahalo wa Wadau wanaotekeleza shughuli za kutokomeza ukeketaji nchini pia kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya ukeketaji kwa njia ya mikutano ya hadhara, vikao na maandamano.”amesema
Amesema kuwa Kaulimbiu ya maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji Duniani ni “Wanaume na Wavulana; Tushiriki Kupinga Mila na Desturi zenye Madhara ili kutokomeza Ukeketaji.
”Kauli mbiu hiyo inahimiza ushiriki wa wanaume na wavulana katika mapambano dhidi ya vitendo vya ukeketaji ambayo ni kinyume cha Sheria na kinyume cha haki za binadamu.”ameeleza
 Pia, amesema kuwa kaulimbiu inatambua umuhimu wa wanaume na wavulana katika kushawishi  wanawake na watoto wa kike  kutotamani kufanyiwa  ukeketaji. 
“Natoa wito kwa Wanaume na Wavulana kote nchini kubadili mitizamo na kuongeza jitihada katika mapambano ya kupinga ukeketaji dhidi ya Wanawake na watoto wa kike kwa kuwashawishi kutotamani kufanyiwa ukeketaji”amesema Gwajima
Kwa upande wake Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Watoto Sehemu ya Familia Bi.Asha Shame amesema kuwa kwa sasa Tanzania ina asilimia 10 ya vitendo vya ukeketaji huku mikoa inayoongoza kwa vitendo hivyo ikiwa ni Manyara yenye asilimia 58,Dodoma ina asilimia 47,Arusha ina asilimia 41,Mara ina asilimia 32 na Singida ina asilimia 31.
Naye Mratibu wa Kutokomeza ukeketeaji Tanzania Bw.Denis Mose wakati akijibu swali kuhusu Mikoa inayoongoza kwa kuwa na wanaume wengi ambao hawajaingia tohara amesema kuwa baada ya kampeni iliyofanywa na Serikali kwa kushirikiana na mashiriki mbalimbali imesaidia mikoa ya Njombe,Iringa,Singida na Tabora Wanaume wengi kuingia katika vitendo hivyo vya tohara.
Februari 06, 2003  Baraza la Umoja wa Mataifa liliidhinisha kufanyika kwa Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kwa lengo la kutokomeza vitendo vya ukeketaji kwa wanawake na watoto wa kike duniani Siku hii huadhimishwa kila mwaka tarehe 06 Februari. 

About the author

Alex Sonna