Featured Michezo

YANGA YATAMBULSIHA JEZI ZA BAHATI KWA AJILI YA CAF

Written by mzalendoeditor
KLABU ya Yanga imeingia mkataba na Kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni 1.5 kama mdhamini Mkuu wa Kombe la Shirikisho barani Afrika,
 
Yanga Sc itakuwa inacheza kwenye michuano hiyo wakiwa wamevalia jezi mpya ambazo wamezindua leo Januari 30,2023 zikiwa na mdhamini wao huyo mpya.
   

About the author

mzalendoeditor