Featured • Michezo YANGA YAPATA MDHAMINI MPYA WA BILIONI 1.5 3 years agoby Alex Sonna155 Views Written by Alex Sonna KLABU ya Yanga imeingia mkataba na kampuni ya Haier wenye thamani ya Sh. Bilioni 1.5 kama mdhamini mkuu kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn