Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

meritbet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

EWURA NA PAU ZAANZA UKAGUZI WA PAMOJA WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA (EACOP)

Written by Alex Sonna

 

Balozi wa Uganda nchini Mhe. Col. Fred Mwesigye akiwa na  wajumbe kutoka EWURA, PAU, na EACOP wakiangalia baadhi ya magari makubwa ya mizigo ya (trailers) yanayotengenezwa na Superdoll kwaajili ya mradi wa EACOP 

 Baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya EWURA, PAU, EACOP na Superdoll wakimsikiliza Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Fred Mwesigye(hayupo pichani) mara baada ya kikao cha siku moja kuhusu mradi wa bomba la mafuta ghafi wa EACOP kilichofanyika katika ofisi za Superdoll, leo Januari 29,2023 jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Fred Mwesigye (aliyekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya EWURA, PAU, EACOP na Superdoll mara baada ya kikao cha siku moja kuhusu mradi wa bomba la mafuta ghafi wa EACOP kilichofanyika katika ofisi za Superdoll, leo Januari 29,2023 jijini Dar es Salaam.
……………………
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Mamlaka ya Petroli Uganda (PAU), leo tar 29/01/2023 imeanza ukaguzi wa  maendeleo ya ujenzi 0wa bomba la mafuta ghafi (EACOP) litakaloanzia Hoima Uganda hadi katika bandari ya Tanga.
Ukaguzi huo umeanza kwa kikao kazi cha siku moja, katika kampuni ya Superdoll jijini Dar es Salaam, ambayo imepewa mkataba wa kutengeneza matela(trailers) makubwa yenye uwezo wa kubeba mizigo isiyo ya kawaida, yenye urefu wa mita 21.7 ambapo kati ya hizo mita 18 kwa ajili  ya kubeba mabomba makubwa. 
Kikao hicho kimehudhuriwa na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Col. Fred Mwesigye, Wajumbe wa Bodi ya PAU pamoja na Menejimenti ya PAU na EWURA.
Aidha, Mhe. Mwesigye amepongeza ushirikishwaji wa kampuni za wazawa katika kutekeleza mradi huo, ambapo Superdoll ni kampuni inayomilikiwa na Watanzania 100%, na hadi sasa imeshatengeneza magari 120 kwa ajili ya mradi huo. 
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Super, Bw. Fulgence Bube, ameishukuru EWURA kwa kuweka utaratibu mzuri na rahisi wa kusajili watoa huduma wazawa katika kanzidata ya EWURA, ili kuwawezesha kutoa huduma katika miradi ya gesi na mafuta hapa nchini ambazo hapo awali zilikua zinachukuliwa na kampuni za kigeni. 
Kwa mujibu wa Sheria ya Petroli ya Mwaka 2015, EWURA ina wajibu wa kutoa kibali cha ujenzi wa bomba hilo, pia kuhakikisha shughuli zote za ujenzi zinafanyika kwa kuzingatia viwango vinavyokubalika kimataifa (Petroleum Industry Standards).

About the author

Alex Sonna