Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATETA NA DKT JINGU

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt.John  Jingu baada ya kuongoza Mkutano Kazi wa Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Disemba 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor