Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO AMTAKIA HERI YA KUZALIWA MHE.RAIS SAMIA KWA KUPANDA MITI DODOMA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipanda mti aina ya mparachichi katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma aliposhiriki kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27, 2023

Mtawa anayesimamia kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma akilimsha keki Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo kama ishara ya kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27, 2023 katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akimlisha keki mwanafunzi wa Shule ya Fontain Gate wakati wa zoezi la upandaji miti kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27, 2023 katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishuhudia mabalozi wa mazingira wakipanda mti katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma alipoungana na wanafunzi na watoto kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na mabalozi wa mazingira, watumishi wa Jiji la Dodoma, wanafunzi wa shule za msingi Mpamaa, Msalato Bwawani na Fontain Gate baada ya kuongoza zoezi la kupanda miti katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma aliposhiriki kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa katika kituo cha aina ya mparachichi katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma aliposhiriki kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, 2023.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akishuhudia wanafunzi wa Shule ya Fontain Gate wakipanda mti katika wakati wa walipomtakia heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 27, 2023 iliyofanyika katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

……………………………………

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili Tanzania imepiga hatua katika kusukuma mbele ajenda ya mazingira.  

Amesema hayo leo Januari 27, 2023 wakati akizungumza baada ya kuongoza zoezi la upandaji miti katika kituo cha kulea watoto cha Nyumba ya Matumaini kilichopo Miyuji jijini Dodoma kumtakia heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Pia, amempongeza Rais Dkt. Samia kwa kuwa mwanamazingira namba moja nchini na duniani akimtaja kuwa amekuwa akihamasisha wananchi kushiriki shughuli za kuhifadhi mazingira katika maeneo mbalimbali.

Amesema Desemba 21, 2017 alizindua Kampeni ya Kukijanisha Dodoma katika eneo la Mzakwe jijini Dodoma hivyo katika kumuenzi mabalozi wa mazingira wamefanya kazi nzuri ya kuhamasisha upandaji miti.

Dkt. Jafo pia amewashukuru mabalozi wa mazingira na wataalamu kutoka Jiji la Dodoma kwa kuandaa zoezi hilo na kusema kuwa ni la muhimu katika kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Waziri Jafo amesema kuwa zoezi la upandaji miti limekuwa na mwitikio mkubwa miongoni mwa wanafunzi wa shule, vyuo na jamii kwa ujumla ambapo inashuhudiwa wananchi wakihamasika kupanda miti katika.

“Hapa leo tumeadhimisha siku ya Mama kwa kuendeleza kampeni kabambe ya upandaji miti Tanzania nimefarijika sana kuona wanafunzi wanashiriki kupanda miti hapa na inadhihirisha namna gani nchi yetu imepiga hatua katika mazingira,” amesema.

Aidha, Dkt. Jafo ametoa wito kwa wananchi kujiepusha na tabia ya ukataji miti ovyo kwa ajili ya kuni na mkaa na badala yake watumie nishati mbadala ili kuepuka changamoto za athari za mabadiliko ya tabianchi.

Pia, alisema kuwa hivi karibuni Serikali itatoa maelekezo rasmi kwa taasisi mbalimbali kuanza kutumia nishati mbadala kwa ajili ya kupikia na kuachana na matumizi ya mkaa na kuni kama ilivyo hivi sasa.

Kwa upande wake Mwakilisha wa mabalozi wa mazingira Bi. Oliver Nyeriga amesema zoezi la upandaji miti lililofanyika katika kituo hicho mbali ya kusaidia kutunza mazingira lakini pia ni njia mojawapo ya kupunguza utegemezi.

“Hapa leo tumefanya zoezi la upandaji miti ambalo pia linatufanya tuwe wabunifu zaidi kwani miti hii ya matunda ikikua itawasaidia wanaoishi hapa kujipatia kipato kwa kuuza matunda yatakayopatikana hapa,” amesema Bi. Oliver.

About the author

Alex Sonna