Kitaifa

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAWASILISHA TAARIFA KWA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA KATIBA NA SHERIA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuanzia Julai 2022 hadi Desemba 2022 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo Januari 24, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Najma Giga akiongoza Kikao cha kamati hiyo ambapo Ofisi ya Makamu wa Rais imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuanzia Julai 2022 hadi Desemba 2022 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria leo Januari 24, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuanzia Julai 2022 hadi Desemba 2022 leo Januari 24, 2023 katika Ofisi za Bunge jijini Dodoma.

PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

About the author

mzalendoeditor