Featured Kitaifa

MWANAMKE UNAWEZA KUOLEWA HATA UKIWA NA MTOTO!

Written by mzalendoeditor

WAKATI nikiwa shule ya sekondari nilibeba ujauzito wa mwanfunzi mwenzangu na kujifungulia mtoto nyumbani kwetu na amekuwa akilelewa na hapo hadi sasa.

Kuna watu wamekuwa wakisema kuwa mwanamke akizalia kwao ni ngumu sana kuolewa kutokana na tamaduni za wanaume wa Kiafrika, huku wengine wakiwa na kibehe kwa madai kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto ni sawa na kununua gazeti wakati wa jioni.
Siku zote nimekuwa nikijishughulisha na biashara mbalimbali na kuweza kuendesha maisha yangu bila kumtengemea mtu yeyote na kumuhudumia mtoto wangu wangu.

Kuna wanaume wengi wamekuwa wakitamani kuwa na mimi na hata kunioa lakini kila ambapo nilikuwa nawaambia kuwa nina mtoto waliacha mara moja kunifuatilia.

Hilo ndilo hasa lilikuwa nikiniumiza na kujiuliza kasoro yangu ni ipi hasa, mbona mimi ni mzuri sana na nina fedha zangu lakini kwanini wanikimbie kwani kuwa na mtoto si jambo la baraka.

Kuna siku nilipokutana na rafiki yangu wa miaka mingi, Nana akiwa na mume wake na watoto wao wawili, tulizungumza mengi na kubadilisha namba za simu.

Siku moja niliwaliana naye na kumwambia tatizo langu, alinipa pole na kuniambia kuwa “African Doctors” wanaweza kunisaidia, alinitumia namba zao kwenye SMS ambazo ni +254719153 099, aliniambia watanisaidia kumpata mume mara moja.

Baada ya kuwasiliana nao na kunipa tiba, nakumbuka haukupita muda mrefu, nilikutana na kijana mmoja katika Basi Stesheni, akaniomba tuongee.

Nikamsiliza, akaniambia kuwa amenipenda sana na kwamba anahitaji kunioa, nilimwambia sawa ila mimi nina mtoto kama atakuwa tayari kuhusu hilo hakuna pingamizi, nashukuru alisema halina shinda yoyote kwani ameshanipenda, hivyo akafuata taratibu na kunioa na sasa tumejaliwa mtoto mmoja. Asanteni sana African Doctors.

About the author

mzalendoeditor