Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

marsbahis

marsbahis

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

pusulabet

betlivo

betra

piabellacasino giriş

marsbahis

slot siteleri

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet giriş

betpark

betpark

vdcasino

jojobet

Jojobet

tipobet

Redwin

deneme bonusu

bahis siteleri

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Jojobet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

grandpashabet

Hacking Forum

modabet

vdcasino giriş

casibom

lunabet

Featured Kitaifa

RC SENYAMULE:’WASIOPANDA MITI KWENYE MAENEO YAO KUCHUKULIWA HATUA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mkapa. Mhe. Senyamule ametangaza Kampeni Maalumu ya upandaji miti katika Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuikijanisha Dodoma.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akitoa maelezo kwa wandishi wa habari juu ya kampeni ya upandaji miti katika  Mkoa wa Dodoma.

**************************

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na wadau wa mazingira,  imetangaza kampeni maalumu ya upandaji miti katika Mkoa wa Dodoma lengo hasa likiwa ni kutimiza lengo la kampeni ya kuikijani Dodoma.

Hayo yamesemwa leo Disemba 30,2022 jijini  na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule alipokua akizungumza na waandishi wa Habari  ofisini kwake jijini Dodoma.

“Sote tunafahamu kuwa msimu wa mvua umeanza hivyo, ni wakati sahihi kwa wananchi na wakazi wote wa Dodoma kutekeleza kwa vitendo Kampeni ya upandaji miti kuanzia ngazi ya Kaya, Kata, Vijiji, Vitongoji  hadi ngazi ya Taasisi na msisitizo wa mwaka huu ni kwamba miti yote itakayopandwa hakikisheni inakua na kustawi vizuri” Amesisitiza Mhe. Senyamule

Kadhalika, Mkuu wa Mkoa amezitaja baadhi ya faida za uwepo wa miti ya kutosha katika mazingira yetu na Mkoa kwa ujumla kuwa ina mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi na jamii kwa ujumla kwani misitu inatoa asilimia 45 ya malighafi za ujenzi, hunyonya hewa ukaa, hutupatia hewa safi, kulinda na kuhifadhi vyanzo vya maji na pia huchangia ongezeko la pato la Taifa.

“Ninafahamu wenzetu wakala wa misitu TFS wamezalisha miche ya miti ya kutosha pale katika kitalu cha miti eneo la Mailimbili na miche hiiinagawiwa bure, hivyo natoa rai kwa wanadodoma kufika pale kuchukua miche ya miti na kupanda katika maeneo yenu. Tutapita kukagua kila nyumba na kuona miti mitano iliyopandwa na wale wasiopanda watachukuliwa hatua kwa kuwa hii ni sehemu yasheria ndogo tulizonazo kwenye Halmashauri” Ameongeza Mh. Senyamule

Kampeni ya upandaji miti Mkoa wa Dodoma inayotarajiwa kuanza Desema 31hadi msimu wa mvua utakapokwisha, imelenga Halmashauri zote nane za Mkoa kwani lengo kuu la Mkoa ni kila Halmashauri kupanda miti 1,500,000 kwa mwaka licha ya baadhi ya maeneo kupewa kipaombele kama eneo la Ihumwa kwenye chanzo cha maji cha DUWASA na katika bonde la Mzakwe.

About the author

Alex Sonna