Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AMTEMBELEA DKT. SALIM AHMED SALIM

Written by mzalendoeditor

 

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ahmed Salim ambaye mtoto wa  Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomtembelea Waziri Mkuu huyo Mstaafu nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor