Featured Kitaifa

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Written by mzalendoeditor

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Viongzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipoitembelea hospitali hiyo jijini Dar es salaam, 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mashine ya Magnetic Resonance Imaging (MRI) wakati alipotembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wagonjwa wakati alipotembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji  wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi wakati alipotembelea Hospitali hiyo jijini Dar es salaam

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole  Jackline Meena anayemuuguza mtoto  Bryton Mbikilwa katika Taasisi ta Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam wakati alipotemblea Taasisi hiyo  Disemba 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

About the author

mzalendoeditor