Featured Kitaifa

RAIS DK. MWINYI ATETA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM TAIFA IKULU ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bi.Dogo Iddi Mbarouk akizungumza na kutowa maelezo ya Jumuiya yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa Ndg.Maganya Abdul Fadhil, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa. Ndg. Maganya Abdul Fadhil alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpngeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-12-2022, na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya (CCM) Taifa  Bi.Dogo Iddi Mbarouk.(

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndg. Maganya Abdul Fadhil (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 19-12-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor