Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA APEWA TUZO YA KIMATAIFA YA MUONGOZA WATALII BORA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dk.Pindi Chana,akipokea tuzo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan aliyotunukiwa na Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India ya kumtambua kuwa Muongoza watalii bora kupitia Filamu ya ”The Royal Tour’

 

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Balozi Dk.Pindi Chana,akizungumza kabla ya kupokea Tuzo aliyopewa  Rais Samia na Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India na kukabidhiwa na Taasisi ya Miss Jungle International na Taasisi ya Bega kwa Bega na mama Foundation ya Muongoza watalii bora kupitia filamu ya ‘Tanzania The Royal Tour’ leo Desemba 11,2022 jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Juma Mkomi,akizungumza kwenye hafla ya kupokea Tuzo aliyopewa Rais Samia na Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India na kukabidhiwa na Taasisi ya Miss Jungle International na Taasisi ya Bega kwa Bega na mama Foundation ya Muongoza watalii bora kupitia filamu ya ‘Tanzania The Royal Tour’ leo Desemba 11,2022 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Miss Jungle International, Haroun Kinega,,akizungumza kwenye hafla ya kupokea Tuzo aliyopewa Rais Samia na Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India na kukabidhiwa na Taasisi ya Miss Jungle International na Taasisi ya Bega kwa Bega na mama Foundation ya Muongoza watalii bora kupitia filamu ya ‘Tanzania The Royal Tour’ leo Desemba 11,2022 jijini Dodoma.

 

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dk.Pindi Chana,akipokea tuzo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan aliyotunukiwa na Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India ya kumtambua kuwa Muongoza watalii bora kupitia Filamu ya ”The Royal Tour’

…………………………….

Na Alex Sonna-DODOMA

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,Tuzo ya kimataifa ya kuwa muongoza watalii bora nchini kutoka Taasisi ya Kimataifa ya International Iconic Award ya nchini India.

Akizungumza leo Desemba 11,2022 jijini Dodoma wakati wa kupokea tuzo hiyo kwa niaba ya Rais Samia,Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Pindi Chana,amesema Rais Samia ametambuliwa kuwa Muongoza watalii bora kupitia Filamu ya ”The Royal Tour”ambayo imetajwa kuleta ushawishi wa Kitalii nchini.

Dk. Chana, amesema kuwa Wizara hiyo inamshukuru Rais Samia kwa kuwaongoza  kwenye filamu hiyo ambayo sekta mbalimbali zimenufaika na kufungua utalii nchini.

“Nampongeza Rais kwa kutunukiwa tuzo hii na kuwa muongoza watalii namba moja, na huu ni wakati wetu sisi kujipima kwenye kutangaza utalii, tuje na ubunifu wa aina mbalimbali ,”amesema Dk. Chana

Amesema kuwa  sekta ya utalii imeongeza mauzo ya nje kwa asilimia 25, wastani asilimia 17.2 ya pato ghafi la taifa huku kuzalisha ajira za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja ni milioni 1.5.

“Mchango wa sekta ya utalii unapaswa kuongezeka zaidi kulinganisha na vivutio vya utalii vilivyopo, tunashukuru Miss Jungle inakuja na mazao mapya ya kutangaza Tanzanite,”amesema

Aidha Waziri Chana ameeleza kuwa lengo ni kuongeza idadi ya watalii kufikia milioni tano na mapato ya dola za kimarekani Bilioni sita ifikapo mwaka 2025.

Tuzo hiyo tuzo hiyo imetolewa na Taasisi ya International Iconic Award ya nchini India na kukabidhiwa na Taasisi ya Miss Jungle International na Taasisi ya Bega kwa Bega na Mama Foundation.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Juma Mkomi, amewataka watendaji wa Wizara hiyo kuendelea kuongeza ubunifu katika kuhifadhi na kutangaza maeneo ya utalii yaliyopo.

Awali, Mwenyekiti wa Taasisi ya Miss Jungle International, Haroun Kinega, amesema kuwa  filamu hiyo ni hatua ya kuichukua Tanzania kuipeleka duniani na kilichofuata ni kuileta dunia nchini Tanzania.

About the author

Alex Sonna