TIMU ya Taifa ya Morocco imeandika historia katika Bara la Africa kwa kuiondosha Ureno ya Cristiano Ronaldo bao 1-0 na kutinga hatua ya Nusu FainaliĀ  ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.

Shujaa wa Morocco ni Youssef En-Nesyri dakika ya 42 aliwanyanyua mashabiki wa Morocco na Waafrica kwa ujumla na kuandika historia mpya ya kutinga hatua hiyo.

Kwa ushindi huo Morocco wanasubiri mshindi kati ya Ufaransa na England mchezo utakaopigwa majira ya saa nne usi

Previous articleCEO WA SIMBA SC AJIUZULU RASMI
Next articlePATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO DESEMBA 11,2022

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here