Featured Kitaifa

MAJALIWA ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI MKOA WA LINDI

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,  Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Nape Nnauye wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Chuo cha Ualimu  Nachingwea kushiriki katika Mkutano  Mkuu  wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Lindi, Novemba 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa , Kassim Majaliwa akiwapungia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa Uchaguzi  Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea kushiriki katika mkutano huo, Februari  20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa CCM wa Uchaguzi Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea, November 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Baadhi ya Washirki wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Mkoa wa Lindi wakifuatilia matukio mbalimbali katika mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu Nachingwea, Novemba 20, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor