Featured Michezo

KAZE AONGEZEWA MAJUKUMU YANGA

Written by mzalendoeditor

MABINGWA wa Kihistoria Tanzania bara Timu ya Yanga imemteua Kocha Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya miaka 17 na 20 pia timu ya wanawake Yanga Princess.

Kaze ataendelea na majukumu yake ya Kocha Msaidizi wa timu hiyo.

About the author

mzalendoeditor