Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022.  Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene na kushoto kwake  ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor