Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA BALOZI WA QATAR NCHINI TANZANIA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam Novemba 2, 2022. 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Qatar nchini Tanzania, Hussein Bin Ahmad Al Homaid, Ofisini kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam Novemba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor