Featured Kitaifa

CHONGOLO ATETA NA BALOZI WA CUBA NCHINI JIJINI DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Cuba nchini Tanzania Komredi Yordenis Despaigne Vera (kushoto) leo Novemba 2, 2022 katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi ya kinyago cha Umoja  Balozi wa Cuba nchini Tanzania Komredi Yordenis Despaigne Vera (kushoto) leo Novemba 2, 2022 mara baada ya kumaliza mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akimkabidhi zawadi ya Vitabu  Balozi wa Cuba nchini Tanzania Komredi Yordenis Despaigne Vera (kushoto) leo Novemba 2, 2022 mara baada ya kumaliza mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.

About the author

mzalendoeditor