Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kimataifa

WABUNGE WAPYA WA BUNGE LA AFRIKA WAAPISHWA..WAMO KUTOKA TANZANIA

Written by Alex Sonna

Wabunge kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Mhe. Anatropia Theonest, Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wakila kiapo kuwa wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
 
Na Kadama Malunde – Midrand Afrika Kusini
Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira amefungua Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika huku Wabunge Wabunge 11 kutoka Burundi, Morocco, Msumbiji, Somalia na Tanzania wakiapishwa kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika (PAP).
 
Mkutano huo wa Bunge unafanyika katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika Midrand Johannesburg Afrika Kusini ukiongozwa na Kauli Mbiu ya Umoja wa Afrika ya Mwaka 2022 “Kujenga Uthabiti kwenye Lishe katika Bara la Afrika : Kuongeza mtaji wa watu, maendeleo ya kijamii na kiuchumi”.
 
Wabunge wapya wa Bunge la Afrika waliokula kiapo ni Mhe. Anatropia Theonest, Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mhe. Bernardine Nduwomana(Burundi) , Mhe. Hannaa Benkhair (Morocco) Mhe. Sarfina Filipe Franco Chindaculema (Msumbiji) , Mhe. Seneta Prof. Abdi Ismael Samatar, Mhe. Mohamed Jamal Mursal, Mhe. Abdulrahman Mohamed Hussein, Mhe. Aden Mohamed Nur na Mhe. Zamzam Muhumed Omar (Somalia).

 

Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. 

 

Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira (kulia) akiongoza Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika leo Jumatatu Oktoba 31,2022 katika Makao Makuu ya Bunge la Afrika, Midrand Afrika Kusini. 

 

Wabunge kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Mhe. Anatropia Theonest, Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wakila kiapo kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Wabunge kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni Mhe. Anatropia Theonest, Mhe. Toufiq Salim Turkey na Mhe. Ng’wasi Damas Kamani wakila kiapo kuwa Wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika

 

Mhe. Bernardine Nduwomana kutoka nchini Burundi akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika leo wakati wa  ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika (PAP).
Mhe. Hannaa Benkhair kutoka nchini Morocco akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Mhe. Sarfina Filipe Franco Chindaculema kutoka Msumbiji  akila kiapo kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Wabunge kutoka Somalia ambao ni Mhe. Seneta Prof. Abdi Ismael Samatar, Mhe. Mohamed Jamal Mursal, Mhe. Abdulrahman Mohamed Hussein, Mhe. Aden Mohamed Nur na Mhe. Zamzam Muhumed Omar  wakila kiapo kuwa wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
Wabunge kutoka Somalia ambao ni Mhe. Seneta Prof. Abdi Ismael Samatar, Mhe. Mohamed Jamal Mursal, Mhe. Abdulrahman Mohamed Hussein, Mhe. Aden Mohamed Nur na Mhe. Zamzam Muhumed Omar  wakila kiapo kuwa wabunge wa Bunge la Afrika wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Kwanza cha Kawaida cha Bunge la Sita la Afrika
 
Zifuatazo ni picha Rais wa Bunge la Afrika (Pan – African Parliament – PAP) Mhe. Chief Fortune Charumbira akiwakabidhi Bendera ya Bunge la Afrika Wabunge wapya wa Bunge la Afrika (PAP)

About the author

Alex Sonna