Burudani Featured

HENRY ADAMS AMVUTA JAYWILLZ NDANI YA WIMBO WAKE

Written by mzalendoeditor

 
Henry Adams
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, Henry Adams ambaye anakuja kwa kasi kubwa kimuziki kutokea nchini nigeria akiwa anawakilisha vyema muziki aina ya Afrobeat huku akiwa pia ni moja ya msanii ambaye ana amini katika talanta yake akiwa anawakilisha Nigeria.
 
 
Henry Adams ni msanii kutoka katika lebo ya muziki ambayo inaitwa OBAFUNSHY RECORDS na sasa ameamua kuja na ngoma yake moya aliwa ameshirikiana na Mkali JAYWILLZ ngoma iitwayo Rest Assured ambayo pia video yake inanya vizuri kupitia Youtube yake.
 
 
Unaweza kutazama na kufurahia kazi nzuri toka kwa Henry Adams Pia unaweza kuwa nae karibu zaidi kwa kufuatilia mitandao yake ya kijamii kama instagram @henryadams_official

About the author

mzalendoeditor