Burudani Featured

DEBBIE GOLD MSANII MPYA KUIPAISHA NIGERIA

Written by mzalendoeditor

Debbie Gold
Debbie Gold ni msanii Mpya wa kike kutoka nchini Nigeria ambaye ameamua kuja kwa ari mpya ili kuweza kuipaisha bendera ya muziki kwa kiwango cha kimataifa kwa kuzingatia kufanya ngoma kali pasi na Video zenye kiwango cha hali ya juu.
 
Debbie Gold ameachia kazi yake ya kwanza katika miandoko ya Amapiano inayoitwa MISTER ikiwa inapatikana katika mitandao yote ya kupakua na kununua muziki ikiwemo,Youtube,Boomplay,Itunes,Spotify, pamoja na Mitandao mingine.
 
Debbie anapatikana kupitia instagram kwa jina la @debbieGoldd unaweza kumfuatilia kwa ukaribu zaidi.

About the author

mzalendoeditor