Featured Kitaifa

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NA VIFAA TIBA NCHINI KOREA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa  Kituo  cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie  kuhusu utengenezaji wa  vifaa tiba kituoni hapo.  Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa  Kituo  cha kutengeneza  vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie  (kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea Kusini

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa  Kituo  cha kutengeneza  vifaa tiba ( Medical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie  (wa pili kulia) kuhusu vifaa tiba vinavyotengenezwa kituoni hapo. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa  Kituo  cha kutengeneza vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie  kuhusu utengenezaji wa  vifaa tiba kituoni hapo.  Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea,

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Rais wa  Kituo  cha kutengeneza  vifaa tiba ( Mdeical Device Development Centre) cha Korea, Bw. Felix K. Yie  kuhusu utengenezaji wa dawa katika kituo hicho wakati alipokitembelea  kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini korea,

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Kituo cha  Kutengeneza Dawa za Binadamu na Vifaa Tiba (KBIOHEALTH na Medical Device Development Centre)baada ya kutembelea kituo hicho akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo, Oktoba 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor