Featured Kitaifa

NAIBU KATIBU MKUU MKAMA ATETA NA WATUMISHI MKALAMA

Written by mzalendoeditor

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama akizungumza akitoa maelekezo kwa Menejimenti (haipo pichani) ya Halmashauri ya Mkalama mkoani Singida kuhusu utekelezaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS) ambao unaratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

Menejimenti ya Halmashauri ya Mkalama mkoani Singida ikifuatilia kikao na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa Kurejesha Ardhi iliyoharibika na Kuongeza Usalama wa Chakula katika Maeneo yenye Ukame nchini (LDFS) ambao unaratibiwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.

About the author

mzalendoeditor